Rais Samia awatumbua Mkuu wa Wilaya Morogoro Bakari Msulwa na Mkurugenzi Morogoro Sheilla Lukuba Kwa Mgambo Kuwapiga Wamachinga

Rais Samia awatumbua Mkuu wa Wilaya Morogoro Bakari Msulwa na Mkurugenzi Morogoro Sheilla Lukuba Kwa Mgambo Kuwapiga Wamachinga

Morogoro kuna Laana Viongozi wengi wanaishia kutumbuliwa hasa DCs na RCs.
Dr Rutengwe na Dr. Kebbwe ni mashahidi
Walipoambiwa

Samia = Magufuli
hawakuelewa? Unyumbu wao umewaponza
 
Kama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
Mama kasema nafasi hizo ni za vijana! Pascal siyo kijana kwani ana miaka 50+.
Hata hivyo faili lake lilichafuliwa na mwenda zake na nduguyai!
 
Back
Top Bottom