Rais Samia awatumbua Mkuu wa Wilaya Morogoro Bakari Msulwa na Mkurugenzi Morogoro Sheilla Lukuba Kwa Mgambo Kuwapiga Wamachinga

Rais Samia awatumbua Mkuu wa Wilaya Morogoro Bakari Msulwa na Mkurugenzi Morogoro Sheilla Lukuba Kwa Mgambo Kuwapiga Wamachinga

Kama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
Karma haina mwenyewe acha avume....
 
Morogoro kuna Laana Viongozi wengi wanaishia kutumbuliwa hasa DCs na RCs.
Dr Rutengwe na Dr. Kebbwe ni mashahidi
Hahhahaa huyo wa kwanza aliyeandika barua ya kilio nimekosa nimekosa mimi😂😂😂😂
 
Duh mama anatumbua polepole kama anacheza hivi ila ndio unakwenda
Mama angewapa nafasi ya kujieleza na kupewa fursa nyingine! Its very painfull. Ukute mgambo na njaa zao wameamua kusumbua wamachinga ili kuganga njaa zao tu!!! Jamani kutumbuliwa kusikie kwa mwingine tu !!!!Miaka
Mama kasema nafasi hizo ni za vijana! Pascal siyo kijana kwani ana miaka 50+.
Hata hivyo faili lake lilichafuliwa na mwenda zake na nduguyai!
Miaka +50 ni kijana! Unakumbuka Kikwete wakati anagombea urais kwa mara ya kwanza alikuwa na miaka 55!!. Tuliambiwa huyu ni kijana mwenzenu na vijana walimkubali kama kijana mwenzao!.
 
Tofauti wanayo kubwa sana mwendakuzimu alikuwa liuaji na jizi
Jifiche kwenye keyboard ila ghafla unaijiwa uthibitishe ninao uhakika macho hayatakuwa tofauti na ya chura alokanywagwa tumbo.
 
Mama angewapa nafasi ya kujieleza na kupewa fursa nyingine! Its very painfull. Ukute mgambo na njaa zao wameamua kusumbua wamachinga ili kuganga njaa zao tu!!! Jamani kutumbuliwa kusikie kwa mwingine tu !!!!
Yah ni sawa na kufukuzwa kazi huku una bills kibao za kulipa kama kodi, umeme, maji, chakula na matibabu pia ndugu wanakutegemea it's so painful
 
Kama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
Kwani Pascal ni kijana?

Hizi zitajazwa na vijana sambamba PDF ndefu tunayoisubiria
 
Back
Top Bottom