Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Hao viongozi waliotumbuliwa Kuna shida kubwa wanashindwa kuzitatua wanakimbilia kuwabugudhi machinga ili waonekane na media kuwa ni wachapa kazi. Walitakiwa waonekane Kama Chachi ya kuchochea maendeleo na sio kuwafanya wenye nchi wajisikie sio nchi yao