Rais Samia awazawadia Serengeti Boys, U17 milioni 500

Hasa watoto wangewaacha kwanza, wasianze mambo yao ya siasa kuna kombe la dunia la vijana. Umri nawao mdogo na mengi wanayowafanyia ni rahisi kuwatoa ari yao ya uwanjani.

Angalau wangesubiri wacheze hilo kombe la dunia walilofuzu, muda huu wawaache wafanye maandalizi baaaa ya fainali kuisha
 
Washaharibu...hawa wanasiasa

Ova
 
Watoto wanafariki kwa kukosa tiba(watoto tiba ni bure) na wazazi kukosa pesa ya kwenda hospital.

Pesa zinachezewa tu.
 
Wakati huo huo Mwaipopo anatakiwa milion 10 aokoe maishayake tena muhimbili pesa hamna anaingia mitandaoni kujaribu waomba wenye iman wamsaidie,vipaumbele hivi.
 
Hatudanganyiki, machungu ya damu za Watanganyika zaidi ya 10,000 zilizomwagwa na Wazanzibari kwa amri yake hatuwezi kusahau kisasi lazima kilipwe kwa namna yoyote ile iwayo.
 
Sasa wapinzani wanauliwa, kutekwa na kufungwa ya nini? Atawale tu sisi ni watu wadogo sana asijali tunayosema
 
Hizo ni Kodi za wananchi
 
Full time Senegal 5 Tanzakenge 0
Hata kama itakuwa hivyo, sawa na maombi yenu nyie maiti wa akili....yaani nyumbu wa lissu na michepuko ya wabelgiji, Bado hatua ya kutukuka imeshapigwa sana tu. Narudia, poleni sana kwa maumivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…