Rais Samia awe makini asije akatuletea "Sabaya" mwingine. Je, ni kwanini CCM wanamtumia Makonda hata baada ya kupigwa ban na Marekani?

CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 
Uchambuzi Mzuri,big up
 
Wewe umechanganyikwa, moja haisomi mbili haikai.
Bora wenzako kama FaizaFoxy Lord denning wameamua kukaa kimya katika hili.
 
Walisahau kilichotokea
 
Madeni yakapaa mara dufu
 
Hawana hoja wala majibu.

Kuna mtu jana aliandika kuwa mtu anayetukana ni mtu mwenye uwezo wa kufikiri
 
Sabaya hajawah fika nusu ya ubaya wa makonda
 
Sera nzuri na uongozi bora kutoka kwa Makonda?? Naona kama unajichanganya
 
Sabaya hajawah fika nusu ya ubaya wa makonda
Hee kumbe? Kusema ukweli Sabaya namuogopa sana.

Yule jamaa bora nikutane na shetani nitaomba kwa Jina La Yesu. Ila huyu Bwana namwogopa mno.
 
Hee kumbe? Kusema ukweli Sabaya namuogopa sana.

Yule jamaa bora nikutane na shetani nitaomba kwa Jina La Yesu. Ila huyu Bwana namwogopa mno.
Sabaya anataka hela makonda ukitoa hela anataka tena na akijua atapata jina anakuua
 
Mimi nimefurahi tu DPW imepita, na sasa uwekezaji bandari unaanza rasmi...
Zile kelele zote kwisha habari yake...
 
Mimi nimefurahi tu DPW imepita, na sasa uwekezaji bandari unaanza rasmi...
Zile kelele zote kwisha habari yake...
Kwa Tanzania hata wawekeze Kwenye Sayari umaskini wako na wanyonge wengine utabaki palepale
 
Kwa Tanzania hata wawekeze Kwenye Sayari umaskini wako na wanyonge wengine utabaki palepale
Mimi ninavyojua akichukua mwarabu mizigo yangu itatoka kwa haraka bila zengwe la wapigaji wa kuchelesha mizigo ili wale cha juu na mafaini kibao...
 
Wew ni mjinga majungu mtaacha lini? Kwanini mnamuogopa Makonda? Mpk inaonesha kbs Makonda ndyo yenu wahunihuni
Kwani alikuwa wapi makonda na kwa nini? Unataka kumdanganya nani asiyemjua?
 
Mimi ninavyojua akichukua mwarabu mizigo yangu itatoka kwa haraka bila zengwe la wapigaji wa kuchelesha mizigo ili wale cha juu na mafaini kibao...
Utasubiri sana. Labda ukachuku mizigo ya nyanya ila sio bandarini
 
Makonda ni papara tu hana la zaidi ya uporaji, mwizi, na mtaka sifa. Anatoa wapi huo ujasiri wa kutaka kuwa juu ya mwenyekiti wake? Na hizo pesa anazotanguliza kwenye ziara yake eti aandaliwe panda sijui farasi huu ni usanii. Na kiukweli wana CCM tusipokuwa makini atatuulia hii Chama. Walipita wengi kwa taratibu za kueleweka Sio hui ya Bashite !!

Mwenyekiti wetu kwa hiki umepotea mwelekeo haswa.!
 
Kupigwa ban na Marekani kunaathiri vipi utendaji wake hapa Tanzania?. Hao Marekani ndio majasusi waliokuwa wakiwaua viongozi wa mwanzo kabisa wa Afrika. Walimuua pia Ghadhafi wa Libya, ni washenzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…