Rais Samia awe makini asije akatuletea "Sabaya" mwingine. Je, ni kwanini CCM wanamtumia Makonda hata baada ya kupigwa ban na Marekani?

Mambo yatakuwa magumu kwa upinzani gani sasa uliokuwepo hapa Tanzania kwa sasa..??
 
Wivu tu
 
Yaani nchi isifanye mambo yake kisa Marekani? Angekuwa amepigwa ban na Mungu Sawa ila Marekani ndo vitu gani?
 
Makonda alipigwa ban na Marekani kwasababu ya "misimamo yake binafsi ya kupinga ushoga".
 
Kwaio marekani ndo nan.Marekani ni msafi?
 
Ccm inahitaji majambazi kama bashite na sabaya ili mambo yao yaende
 
Well narrated
 
Kuhusu makonda kukumbatiwa pamoja madhambi yake ni ushahidi tosha kwamba tumebobea sana kwenye unafiki na kuhusu hili ni ngumu kusonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…