Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

Pamoja na kwamba unaropoka tuu ila jitakujibu hivyo hivyo Kwa uropokaji wako.

Una hakika hawajapata soko Ulaya? Pili ziara ya Rais ni pamoja na kuwatafutia masoko.
Kwahiyo malalamiko yao ni ya uongo! Mbona maparachichi yao waliyoshindwa kuyauza huko yanaharibikia kwenye masoko yetu.
Tatizo lako ni kuwa huko tunakokuongelea wewe haukujui na haujawahi kuishi huko, labda ulipita ukipeleka gari IT boda.
 
Mikopo,mikopo ,mikopo.
Kuuza,kuuza,kuuza
Kuomba ,kuomba,kuomba
Una uhakika? Nikikuwekea ushahidi hautakimbia?

Mwisho hata mikopo ni Kwa maslahi ya Nchi,sio Kila Nchi Ina vigezo vya kupata Mkopo
 
Nchi inawajinga wa kutosha hii! Ata kualikwa kwa watu mtu anaona sifa!
Ndio kwani kualikwa kwenye jalamu ya wakubwa wewe unaona sio sifa ni matusi au dharau? Hapo ujinga uko wapi?
 
Una uhakika? Nikikuwekea ushahidi hautakimbia?

Mwisho hata mikopo ni Kwa maslahi ya Nchi,sio Kila Nchi Ina vigezo vya kupata Mkopo
Kwanini tunakopa? Kwanini sisi tusiwakopeshe?
Ni nini tusicho nacho??? Hadi tunakwenda kukopa?
 
SSH amekuwa akizungumza kwenye midahalo ya Kimataifa kuanzia COP Hadi USA ,halinganishwi Kwa chochote na wewe mjinga
 
Kwanini tunakopa? Kwanini sisi tusiwakopeshe?
Ni nini tusicho nacho??? Hadi tunakwenda kukopa?
Tunakopa Ili tujenga Uchumi.Umkopeshe Nchi yenye uhuru Kwa miaka 200 vs 60? Uko sawasawa kichwani?

Kwani kukopa Kuna ubaya?
 
Tunakopa Ili tujenga Uchumi.Umkopeshe Nchi yenye uhuru Kwa miaka 200 vs 60? Uko sawasawa kichwani?

Kwani kukopa Kuna ubaya?
Unatakiwa ukope ukijua unalipa mkopo kwa njia Gani?
Ujue unakopa kufamya kazi Gani?
Unakopa kujenga matundu ya vyoo?

Bara wanakopa, visiwani wanakula mkopo,walipaji ni bara!
 
Sifa za kijinga. Walikuja hapa nchini Bush na Obama wakiwa madarakani, ahadi zikawa tembo, utekelezaji ukawa sungura!
 
Wanajua wa kumualika.Hawawezi kuthubutu kwa Ibrahim Traore.Wala wasingethubutu kwa JPM au Gaddafi wote hawa walikubali kufa wakiwa wamesimama badala ya kuishi wakiwa wamepiga magoti kwa mabeberu.
Wakapata faida gani
Kumchukia aliyefanikiwa hukuondolei umaskini wako
 
Inatusaidia nn hiyo ziara yake sie wakulima wa alizet kanda ya kati??.
 
Wanajua wa kumualika.Hawawezi kuthubutu kwa Ibrahim Traore.Wala wasingethubutu kwa JPM au Gaddafi wote hawa walikubali kufa wakiwa wamesimama badala ya kuishi wakiwa wamepiga magoti kwa mabeberu.
muwe na roho ya kushukuru na kutambua juhudi za mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…