Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

Pamoja na kwamba unaropoka tuu ila jitakujibu hivyo hivyo Kwa uropokaji wako.

Una hakika hawajapata soko Ulaya? Pili ziara ya Rais ni pamoja na kuwatafutia masoko.
Kwahiyo malalamiko yao ni ya uongo! Mbona maparachichi yao waliyoshindwa kuyauza huko yanaharibikia kwenye masoko yetu.
Tatizo lako ni kuwa huko tunakokuongelea wewe haukujui na haujawahi kuishi huko, labda ulipita ukipeleka gari IT boda.
 
Una uhakika? Nikikuwekea ushahidi hautakimbia?

Mwisho hata mikopo ni Kwa maslahi ya Nchi,sio Kila Nchi Ina vigezo vya kupata Mkopo
Kwanini tunakopa? Kwanini sisi tusiwakopeshe?
Ni nini tusicho nacho??? Hadi tunakwenda kukopa?
 
Sawasawa,,,, asiende kupayuka kama Rango sasa,,,,akaseme naona kuna vijimaneno maneno kwamba marekani imemkataaa Kamala Harris kuwa raisi sababu ni mwanamke, naomba niwaambie wamerekani wanione mimi mwanamke na ninaongoza nchi yangu vizuri sana, mauaji ya wapinzani yako juuu, uchafuzi wa uchaguzi, rushwa na ufisaidi,, nimeuza bandari na mbuga za wanyama, pia ninapambana kufukuza wamasai….😇….
Kwa hiyo wamarekani wasiogope kwanza hakuna raisi mwanamke ni raisi mwenye jinsia ya kike….
G20 Hoyeeeee
SSH amekuwa akizungumza kwenye midahalo ya Kimataifa kuanzia COP Hadi USA ,halinganishwi Kwa chochote na wewe mjinga
 
Kwanini tunakopa? Kwanini sisi tusiwakopeshe?
Ni nini tusicho nacho??? Hadi tunakwenda kukopa?
Tunakopa Ili tujenga Uchumi.Umkopeshe Nchi yenye uhuru Kwa miaka 200 vs 60? Uko sawasawa kichwani?

Kwani kukopa Kuna ubaya?
 
Tunakopa Ili tujenga Uchumi.Umkopeshe Nchi yenye uhuru Kwa miaka 200 vs 60? Uko sawasawa kichwani?

Kwani kukopa Kuna ubaya?
Unatakiwa ukope ukijua unalipa mkopo kwa njia Gani?
Ujue unakopa kufamya kazi Gani?
Unakopa kujenga matundu ya vyoo?

Bara wanakopa, visiwani wanakula mkopo,walipaji ni bara!
 
Tanzania imealikwa Kuhudhuria Mikutano wa G20 huko Brazil ambapo Rais Samia ataiwakilisha Nchi kuanzia baadae mwezi huu.

Hii inakuwa ni mara ya kwanza Kwa Tanzania kualikwa kwenye G20 na mara ya pili kualikwa kwenye ngazi kubwa ndani ya kipindi chake kwani Aliwahi alikuwa kushiriki mikutano wa BRICS huko South Africa.

Miaka ya nyumba JK na Marehemu Mkapa wamewahi alikuwa Kuhudhuria Mikutano ya G8.

My Take: Tanzania inazidi kuonesha Nguvu yake kidiplomasia Duniani.

==============

View attachment 3151819

For the first time in history, Tanzania will participate in the G20 Leaders’ Summit, with President Samia Suluhu Hassan set to represent the nation in Rio de Janeiro, Brazil, on 18th and 19th November 2024. This year’s summit, themed “Building a Just World and a Sustainable Planet,” follows an invitation from Brazilian President Luiz Inácio Lula da Silva.

President Samia’s attendance marks a significant milestone, as she becomes the first Tanzanian and the first female Executive President of Tanzania to attend a G20 Leaders' Summit since the group expanded from G8 in 2009. Previously, Tanzania was represented at G8 summits by former leaders Benjamin Mkapa and Jakaya Kikwete in 2005 and 2008, respectively.

Tanzania’s participation underscores its growing influence and commitment to addressing critical global challenges, including climate change, poverty, and food security. The country hopes to use this platform to attract partnerships and funding for initiatives such as clean cooking, renewable energy, climate-smart agriculture, and sustainable economic development.

This summit is expected to strengthen Tanzania’s global profile and support its development goals through strategic international cooperation.

The Citizen
Sifa za kijinga. Walikuja hapa nchini Bush na Obama wakiwa madarakani, ahadi zikawa tembo, utekelezaji ukawa sungura!
 
Wanajua wa kumualika.Hawawezi kuthubutu kwa Ibrahim Traore.Wala wasingethubutu kwa JPM au Gaddafi wote hawa walikubali kufa wakiwa wamesimama badala ya kuishi wakiwa wamepiga magoti kwa mabeberu.
Wakapata faida gani
Kumchukia aliyefanikiwa hukuondolei umaskini wako
 
Inatusaidia nn hiyo ziara yake sie wakulima wa alizet kanda ya kati??.
 
Wanajua wa kumualika.Hawawezi kuthubutu kwa Ibrahim Traore.Wala wasingethubutu kwa JPM au Gaddafi wote hawa walikubali kufa wakiwa wamesimama badala ya kuishi wakiwa wamepiga magoti kwa mabeberu.
muwe na roho ya kushukuru na kutambua juhudi za mtu
 
Back
Top Bottom