Mapitio na maboresho ya sera za biashara pamoja na misingi bora ilioimarishwa kati ya serikali na taasisi binafsi nchini imechochea kuwekwa kwa rekodi ya faida ilitengenezwa na taasisi za kibenki nchini.
Kwa mara ya kwanza katika historia, benki za Tanzania zilipata faida ya jumla ya Sh. trilioni 1.16 mwaka 2022, huku zikisema faida hiyo inatokana na sera nzuri za biashara na uwekezaji zilizowekwa na Rais Samia Suluhu
Kuongezeka kwa faida za mabenki ni ishara njema kwa upatikanaji wa mikopo kwa wajasiriamali.