Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Mto Pangani (M 525)

Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Mto Pangani (M 525)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA MTO PANGANI (M 525)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Pangani - Tanga: sehemu ya Mkange - Pangani - Tanga (km 170.8) kwa kiwango cha lami pamoja na Daraja la Mto Pangani (m 525) na barabara unganishi (Km 25) kwa kiwango cha lami Mkoani Tanga, leo Februari 26, 2025.

Ujenzi wa Barabara hiyo ni sehemu ya Barabara za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) inayounganisha nchi mbili za Kenya na Tanzania kwa ukanda wa Pwani.

Aidha, Barabara hiyo ipo kwenye ushoroba wa Pwani ya Afrika Mashariki unaoanzia katika Mji wa Malindi na kupitia Miji ya Mombasa na Lungalungakwa upande wa Kenya na Horohoro, Tanga, Pangani hadi Bagamoyo kwa upande wa Tanzania.
 

Attachments

  • RAIS DKT. SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA LA PANGANI.mp4
    48.7 MB
  • WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.13.jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.13.jpeg
    556.7 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.14.jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.14.jpeg
    474.3 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.15.jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.15.jpeg
    550.3 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.15 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.15 (1).jpeg
    654.4 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.16.jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.16.jpeg
    488.9 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.50.jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.50.jpeg
    362.4 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.50 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.50 (1).jpeg
    502.1 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.51.jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.51.jpeg
    369.4 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.51 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-26 at 15.55.51 (1).jpeg
    355.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom