Onyo lake limedharauliwa! Tena kwenye ile "kesi", imeongezeka tuhuma kuhusu Polepole!Yule Andrew kajificha wapi 😀😀😀😀😀
Nimekuja resi kuuliza Andrew walimfungia wapi asichafue hali ya hewa hapo?Andrew alikuwa wapi amtimue kutoa nuksi hapo kwa hayati!.
Pale ambapo unamwaga damu za watu na kuteka watu halafu unaenda kujifanya mwana kondoo kwa kuweka mashada ya maua kwenye makaburi ya waasisi wa nchi hii..haisaidii kitu.Write your reply...chizi hakuwepo?
Mamamamae, ndo mtabaki hivi hivi na maneno ya kwenye vijora. Si mlisema asiende?!! Huyo kafika.......🤣🤣🤣Anapenda mashindano kama wamama wa uswahilini yombo vituka 🤣🤣🤣🤣
Nilikua naisubiri comment ya hivi.duu ila aliyechora hiyo picha ya Nyerere atakuwa ni kigwangala