Tofautu na kusubiri misaada ya chanjo kutoka kwa Wazungu na Wachina serikali yetu ina mpango wake wowote wa kuagiza kwa fedha zake za ndani au mikopo chanjo nyingi zaidi za Corona kuchanja watu WOTE wanaozihitaji?
Kuna mambo mengi ambayo sio ya dharura huwa yanafanywa nje ya bajeti, Corona sio jambo la dharula tena kwa mwaka huu, ni jambo linolafahamika vizuri sana. Je kuna pesa zimetengwa kwa ajili ya kuagiza na kununua chanjo?