cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Yaan ajabu iliyoje? AseeeehTunatakiwa kuamini kwamba Mwinyi hawezi kumudu Benz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan ajabu iliyoje? AseeeehTunatakiwa kuamini kwamba Mwinyi hawezi kumudu Benz?
Rais...Tuache hizi mambo! Hiyo zawadi katoa Samia au Raisi?
Ule mgao wa magari toka serikalini si ungetosha tu kupewa hiyo Benz, watoto wake hawaoni shida anayopata mzee wao?
kwa wapenzi wa kusoma vitabu na kujifunza historia Mwinyi kafanya jambo kubwa na muhimu sana kutuandikia kitabu cha maisha yake, kwanza ndiye Rais aliepokea nchi ikiwa katika wakati mbaya kiuchumi pili kupata heshima ya kuachiwa nafasi hiyo na Nyerere ni kuaminika pakubwa sana hata kama badae Nyerere alikuja kumkosoa ni kwa madhumuni ya kuboresha.Rais wa awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi leo anazindua kitabu kinachohusu maisha yake.
Mgeni rasmi ni Rais wa JMT mh Samia...
[emoji23][emoji23][emoji23]...na mipasho + vijembeMaza ni mtu wa bata sana huyu
Duuh kweli kweli..Mwenye nacho huongezewa, asiye nacho hunyang'anywa kabisa.
Tuishi humo tyuuh, khaaaaaah
[emoji23][emoji23]Nakumbuka kauli yake ya Mei Mosi....nabaki kutafakari na kusema ihiiiii
Ni mtu anaependa sana kutrend[emoji23][emoji23][emoji23]...na mipasho + vijembe
Ngoja niisome namba taratibu hapa
Ngoja tuone raha atayopewa jk siku yake ya bOk limpe raha
Mbaya zaidi mtoto wake ni Rais hivi ameshindwa kweli kumnunulia baba ake hilo Benz? Ukistaajabu ya Chato utayaona ya Zanzibar.Tuache hizi mambo! Hiyo zawadi katoa Samia au Raisi?
Ule mgao wa magari toka serikalini si ungetosha tu kupewa hiyo Benz, watoto wake hawaoni shida anayopata mzee wao?
SIO KWELI SAMIA HAWEZI KUFANYA UPUMBAVU KAMS HUU.Huu ujinga ndio umesababisha tuikose mechi ya leo. [emoji15][emoji15]
Inawezekana sio yeye bali ni wale wa chini yake waliofanya hivyo ili kujikomba kwake.SIO KWELI SAMIA HAWEZI KUFANYA UPUMBAVU KAMS HUU.
LABDA KAMA KALOGWA.
Bday tukutane shelii wimbo ni ule ule mdundo ndo tofautiHuu ujinga ndio umesababisha tuikose mechi ya leo. 😳😳
HahahaBday tukutane shelii wimbo ni ule ule mdundo ndo tofauti