Rais Samia azindua Kitabu cha Maisha ya Rais wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi

Rais Samia azindua Kitabu cha Maisha ya Rais wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi

Rais wa awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi leo anazindua kitabu kinachohusu maisha yake.

Mgeni rasmi ni Rais wa JMT mh Samia...
kwa wapenzi wa kusoma vitabu na kujifunza historia Mwinyi kafanya jambo kubwa na muhimu sana kutuandikia kitabu cha maisha yake, kwanza ndiye Rais aliepokea nchi ikiwa katika wakati mbaya kiuchumi pili kupata heshima ya kuachiwa nafasi hiyo na Nyerere ni kuaminika pakubwa sana hata kama badae Nyerere alikuja kumkosoa ni kwa madhumuni ya kuboresha.

Tatu ndiye Rais aliekwepo madarakani wakati mchakato wa vyama vingi ukianzishwa kuna mengi ya kujifunza juu ya uongozi wa Mwinyi kwa vizazi vya leo na kesho.

Ila kwenye bei (nimesikia ni 80,000/=) kwa kitabu sio rafiki kwa WATANZANIA walio wengi, ikumbukwe watanzania walio wengi si wasomaji wa vitabu na sababu inaweza kuwa ni upatikanaji wa vitabu au uwezo wa kuvinunua vitabu, lakini pia kutokujengewa utamaduni wa kusoma vitabu toka utotoni, na ninauhakika vitabu kama cha Mkapa, Regnald mengi na hiki cha Mwinyi watanzania walionunua siku za uzinduzi asilimia kubwa hawavisomi wananunua kwa sababu wapo katika uzinduzi na wananunua kwa sababu waonekane wamem suport aliewaalika.

Nashauri, pawepo na bei rafiki na kama hilo ni gumu, kutokana na vitabu hivi kujikita kwenye historia ya maisha ya wahusika kuanzia walipo zaliwa na mapito yote ya maisha mpaka mafanikio na mengine yenyekuhusu uongozi wao ni vyema basi vitabu wakavitoa kwa mtiririko wa kitabu cha 1,2,3... ili kila kitabu kijitegemee bei na kitakuwa ni raisi kusomeka hata na watu wengi, kwani mtiririko huo kama kitabu ni kizuri kitamshawishi msomaji atafute kinachofuata pia hata wale wasiopenda kusoma vitabu vyenye pg nyingi hakita mchosha
 
CCM haitakiwi katika uso wa Dunia,wanapeana wao tu wakati sisi wafanyakazi wametunyoga since 2015,CCM ifutike katika uso wa Dunia, pumbavu.
 
Kwamba anapata hiyo shida sababu hana pesa ya kununua gari ya chini? Akili za wapi hizi jamani?
 
Back
Top Bottom