Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Uko sahihiKabla ya Magufuli ilifikia 2,000. Akiruhusu ushindani wa kweli, leo itazidi 2,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihiKabla ya Magufuli ilifikia 2,000. Akiruhusu ushindani wa kweli, leo itazidi 2,000
Achana na wapumbavu,wengi tunamwelewa.Samia yuko vizuri, watanzani hatuna jema ndio shida
Bila unafiki,Mama anaupiga au anaitendea haki ilani ya uchaguzi ya chama chake.Lakini awe anaruhusu/anapokea mawazo ya kujenga(mbadala )toka vyama ambavyo havijaunda serikali
================================RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO================================
Mhe Rais baada ya kufanikiwa kuongeza bei ya Mbaazi kwa zaidi ya 3200%/kg,Pamba kwa zaidi ya 125%/kg Alizeti kwa zaidi ya 120%/kg,Sasa ni zamu ya choroko ambayo nayo kwa mfumo uleule bei yake imepanda kwa zaidi ya 100%/kg, Ukitafuta wastani wa ongezeko la bei kwa mazao yote ya kibiashara yaliyovunwa mpaka sasa utagundua Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza kila zao kwa zaidi ya 100%/kg ndani ya kipindi chake hiki kifupi, yaani ameongeza bei mara mbili zaidi ya bei ya awali, Sote ni mashahidi, Wakati bei za bidhaa nyingine mbalimbali ikipanda mwaka hadi mwaka bei ya choroko haijawahi kuvuka Tshs 1,300 kwa zaidi ya mwongo mmoja leo.
Rais pekee mwanamke Barani Africa na Rais wa kwanza Mwanamke EAC, Mama Samia Suluhu Hassan kwakutambua kuwa zaidi ya 80% ya Watanzania anaowaongoza wanategemea kilimo, 58.1% ni wakulima huku 65% ya malighafi zote za Viwandani zinatokana na kilimo na 100% ya chakula chote duniani kinatokana na kilimo huku kilimo kikichangia 27% kwenye Pato la Taifa (GDP) ,Mama ameamua kuwekeza nguvu kubwa kwenye Uzalishaji na Masoko ya mazao yatokanayo na kilimo,Hii ni tofauti kidogo na watangulizi wake wote tangu tupate Uhuru.
Rais Samia amekataa kuuza choroko kwa warehouse recipt Finance (WRF-Stakabadhi ghalani) ili kuondoa gharama za uendeshaji anazokatwa Mkulima kupitia AMCOS kwa kuruhusu biashara huria,Nandio maana leo wakulima wa choroko wamempokea Rais Samia kama Mama yao kwa kuipaisha bei ya choroko zao.
Kasi ya Rais Samia imeshangaza wengi hasa wakulima wa mazao ya kibiashara,Bei ya choroko nchi China inafikia US$ 1,581/Tani, karibu Tshs 3,500,000, Bei ipo na ni nzuri nje huenda shida ilikuwa ni haya matozo 232 ambayo Mama Samia aliyoyatoa ndio maana kila kitu ni mseleleko tu.
Kazi iendelee
Viva Tanzania |Viva Samia|Viva CCMView attachment 1936862
Kwani kampeni zimeshaanza? Wengine nao wakianza kampeni zao msiwapeleke kwenye kamati.
Viva Samia VivaClick to expand...
comment Of the dayWakulima sisi tumekubali mapigo
Kahawa hapa Bukoba ilikuwa Tsh1,000 tena kwa mkopo leo Tsh 1,500 keshi
Sisi Bukoba tunamtaka mama tena 2025.
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO================================
Mhe Rais baada ya kufanikiwa kuongeza bei ya Mbaazi kwa zaidi ya 3200%/kg,Pamba kwa zaidi ya 125%/kg Alizeti kwa zaidi ya 120%/kg,Sasa ni zamu ya choroko ambayo nayo kwa mfumo uleule bei yake imepanda kwa zaidi ya 100%/kg, Ukitafuta wastani wa ongezeko la bei kwa mazao yote ya kibiashara yaliyovunwa mpaka sasa utagundua Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza kila zao kwa zaidi ya 100%/kg ndani ya kipindi chake hiki kifupi, yaani ameongeza bei mara mbili zaidi ya bei ya awali, Sote ni mashahidi, Wakati bei za bidhaa nyingine mbalimbali ikipanda mwaka hadi mwaka bei ya choroko haijawahi kuvuka Tshs 1,300 kwa zaidi ya mwongo mmoja leo.
Rais pekee mwanamke Barani Africa na Rais wa kwanza Mwanamke EAC, Mama Samia Suluhu Hassan kwakutambua kuwa zaidi ya 80% ya Watanzania anaowaongoza wanategemea kilimo, 58.1% ni wakulima huku 65% ya malighafi zote za Viwandani zinatokana na kilimo na 100% ya chakula chote duniani kinatokana na kilimo huku kilimo kikichangia 27% kwenye Pato la Taifa (GDP) ,Mama ameamua kuwekeza nguvu kubwa kwenye Uzalishaji na Masoko ya mazao yatokanayo na kilimo,Hii ni tofauti kidogo na watangulizi wake wote tangu tupate Uhuru.
Rais Samia amekataa kuuza choroko kwa warehouse recipt Finance (WRF-Stakabadhi ghalani) ili kuondoa gharama za uendeshaji anazokatwa Mkulima kupitia AMCOS kwa kuruhusu biashara huria,Nandio maana leo wakulima wa choroko wamempokea Rais Samia kama Mama yao kwa kuipaisha bei ya choroko zao.
Kasi ya Rais Samia imeshangaza wengi hasa wakulima wa mazao ya kibiashara,Bei ya choroko nchi China inafikia US$ 1,581/Tani, karibu Tshs 3,500,000, Bei ipo na ni nzuri nje huenda shida ilikuwa ni haya matozo 232 ambayo Mama Samia aliyoyatoa ndio maana kila kitu ni mseleleko tu.
Kazi iendelee
Viva Tanzania |Viva Samia|Viva CCMView attachment 1936862
RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO================================

Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.
" Hakuna kama Samaia "
Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF) pamoja na benki ya dunia ( WB) wameanza kuzisaidia nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ili pesa hizo zitumike kama Economic Stimulus & Relief Fund na hapa muelewe vizuri Tanzania tunapokea mikopo na misaada ila "HATUITEGEMEI " ndio maana hata kwenye bajeti yetu hii ya FY2021|22 katia ya Tshs 36.33trl zilizotengwa pesa zetu ni 91.9% huku misaada na mikopo ikiwa ni 8.1% tu,
IMF tayari imeisaidia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kiasi cha Tshs 1.3trl kwaajili ya kusisimua Uchumi wake uliodorora kwasababu ya covod-19 kwani niukweli usiopingika Tanzania tumeumizwa zaidi kwenye Sekta za Utalii,biashara na Usafirishaji,
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia pesa hizo na baada ya kutoa madarasa ya kisasa elfu 15 sawa na wastani wa madarasa manne kwenye kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima huku kipaumbele kikiwa ni shule zenye upungufu wa madarasa lakini furaha iliyoje Rais wetu ametoa tena jumla ya madawati 462,795 ambayo ni sawa na Wastani wa madawati 120 kwenye kila Shule ya Sekondari nchi nzima ambazo jumla ya shule hizo ni 3,863.
Sababu za Rais Samia Suluhu Hassan kutoa madarasa mapya manne ya kisasa na madawati mapya 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima ni kuhakikisha wazazi wa watoto watakaojiunga na kidato cha kwanza mwakani katika mwaka wa masomo 2021|2025 hawalipi hata Shilingia mia moja kwani Rais wetu mnyenyekevu ameshalipa pia ada za watoto wote 1M wanaotakiwa kuanza shule siku moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022,hii haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu,
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1971181
14|10|2021RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO================================
Mhe Rais baada ya kufanikiwa kuongeza bei ya Mbaazi kwa zaidi ya 3200%/kg,Pamba kwa zaidi ya 125%/kg Alizeti kwa zaidi ya 120%/kg,Sasa ni zamu ya choroko ambayo nayo kwa mfumo uleule bei yake imepanda kwa zaidi ya 100%/kg, Ukitafuta wastani wa ongezeko la bei kwa mazao yote ya kibiashara yaliyovunwa mpaka sasa utagundua Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza kila zao kwa zaidi ya 100%/kg ndani ya kipindi chake hiki kifupi, yaani ameongeza bei mara mbili zaidi ya bei ya awali, Sote ni mashahidi, Wakati bei za bidhaa nyingine mbalimbali ikipanda mwaka hadi mwaka bei ya choroko haijawahi kuvuka Tshs 1,300 kwa zaidi ya mwongo mmoja leo.
Rais pekee mwanamke Barani Africa na Rais wa kwanza Mwanamke EAC, Mama Samia Suluhu Hassan kwakutambua kuwa zaidi ya 80% ya Watanzania anaowaongoza wanategemea kilimo, 58.1% ni wakulima huku 65% ya malighafi zote za Viwandani zinatokana na kilimo na 100% ya chakula chote duniani kinatokana na kilimo huku kilimo kikichangia 27% kwenye Pato la Taifa (GDP) ,Mama ameamua kuwekeza nguvu kubwa kwenye Uzalishaji na Masoko ya mazao yatokanayo na kilimo,Hii ni tofauti kidogo na watangulizi wake wote tangu tupate Uhuru.
Rais Samia amekataa kuuza choroko kwa warehouse recipt Finance (WRF-Stakabadhi ghalani) ili kuondoa gharama za uendeshaji anazokatwa Mkulima kupitia AMCOS kwa kuruhusu biashara huria,Nandio maana leo wakulima wa choroko wamempokea Rais Samia kama Mama yao kwa kuipaisha bei ya choroko zao.
Kasi ya Rais Samia imeshangaza wengi hasa wakulima wa mazao ya kibiashara,Bei ya choroko nchi China inafikia US$ 1,581/Tani, karibu Tshs 3,500,000, Bei ipo na ni nzuri nje huenda shida ilikuwa ni haya matozo 232 ambayo Mama Samia aliyoyatoa ndio maana kila kitu ni mseleleko tu.
Kazi iendelee
Viva Tanzania |Viva Samia|Viva CCMView attachment 1936862
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidiVinapanda kwakuwa pesa ipo, Purchasing power iko juu
Watu wanayo pesa tayari najua umeanza kushuhudia kwa macho ya nyama
👇🏿👇🏿👇🏿Wakulima sisi tumekubali mapigo
Kahawa hapa Bukoba ilikuwa Tsh1,000 tena kwa mkopo leo Tsh 1,500 keshi
Sisi Bukoba tunamtaka mama tena 2025.
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,Vipi kuhusu Kawaha jamaa kasema kweli au ametuzuga?
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO================================
Mhe Rais baada ya kufanikiwa kuongeza bei ya Mbaazi kwa zaidi ya 3200%/kg,Pamba kwa zaidi ya 125%/kg Alizeti kwa zaidi ya 120%/kg,Sasa ni zamu ya choroko ambayo nayo kwa mfumo uleule bei yake imepanda kwa zaidi ya 100%/kg, Ukitafuta wastani wa ongezeko la bei kwa mazao yote ya kibiashara yaliyovunwa mpaka sasa utagundua Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza kila zao kwa zaidi ya 100%/kg ndani ya kipindi chake hiki kifupi, yaani ameongeza bei mara mbili zaidi ya bei ya awali, Sote ni mashahidi, Wakati bei za bidhaa nyingine mbalimbali ikipanda mwaka hadi mwaka bei ya choroko haijawahi kuvuka Tshs 1,300 kwa zaidi ya mwongo mmoja leo.
Rais pekee mwanamke Barani Africa na Rais wa kwanza Mwanamke EAC, Mama Samia Suluhu Hassan kwakutambua kuwa zaidi ya 80% ya Watanzania anaowaongoza wanategemea kilimo, 58.1% ni wakulima huku 65% ya malighafi zote za Viwandani zinatokana na kilimo na 100% ya chakula chote duniani kinatokana na kilimo huku kilimo kikichangia 27% kwenye Pato la Taifa (GDP) ,Mama ameamua kuwekeza nguvu kubwa kwenye Uzalishaji na Masoko ya mazao yatokanayo na kilimo,Hii ni tofauti kidogo na watangulizi wake wote tangu tupate Uhuru.
Rais Samia amekataa kuuza choroko kwa warehouse recipt Finance (WRF-Stakabadhi ghalani) ili kuondoa gharama za uendeshaji anazokatwa Mkulima kupitia AMCOS kwa kuruhusu biashara huria,Nandio maana leo wakulima wa choroko wamempokea Rais Samia kama Mama yao kwa kuipaisha bei ya choroko zao.
Kasi ya Rais Samia imeshangaza wengi hasa wakulima wa mazao ya kibiashara,Bei ya choroko nchi China inafikia US$ 1,581/Tani, karibu Tshs 3,500,000, Bei ipo na ni nzuri nje huenda shida ilikuwa ni haya matozo 232 ambayo Mama Samia aliyoyatoa ndio maana kila kitu ni mseleleko tu.
Kazi iendelee
Viva Tanzania |Viva Samia|Viva CCMView attachment 1936862
Siku hizi post za vichaa ndizo nyingiRAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO================================

Vichaa!!?Siku hizi post za vichaa ndizo nyingi
Kichaa ni yeye na wanaomtumaVichaa!!?
Safi Sana Rais Samia wetuRAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO================================
Mhe Rais baada ya kufanikiwa kuongeza bei ya Mbaazi kwa zaidi ya 3200%/kg,Pamba kwa zaidi ya 125%/kg Alizeti kwa zaidi ya 120%/kg,Sasa ni zamu ya choroko ambayo nayo kwa mfumo uleule bei yake imepanda kwa zaidi ya 100%/kg, Ukitafuta wastani wa ongezeko la bei kwa mazao yote ya kibiashara yaliyovunwa mpaka sasa utagundua Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza kila zao kwa zaidi ya 100%/kg ndani ya kipindi chake hiki kifupi, yaani ameongeza bei mara mbili zaidi ya bei ya awali, Sote ni mashahidi, Wakati bei za bidhaa nyingine mbalimbali ikipanda mwaka hadi mwaka bei ya choroko haijawahi kuvuka Tshs 1,300 kwa zaidi ya mwongo mmoja leo.
Rais pekee mwanamke Barani Africa na Rais wa kwanza Mwanamke EAC, Mama Samia Suluhu Hassan kwakutambua kuwa zaidi ya 80% ya Watanzania anaowaongoza wanategemea kilimo, 58.1% ni wakulima huku 65% ya malighafi zote za Viwandani zinatokana na kilimo na 100% ya chakula chote duniani kinatokana na kilimo huku kilimo kikichangia 27% kwenye Pato la Taifa (GDP) ,Mama ameamua kuwekeza nguvu kubwa kwenye Uzalishaji na Masoko ya mazao yatokanayo na kilimo,Hii ni tofauti kidogo na watangulizi wake wote tangu tupate Uhuru.
Rais Samia amekataa kuuza choroko kwa warehouse recipt Finance (WRF-Stakabadhi ghalani) ili kuondoa gharama za uendeshaji anazokatwa Mkulima kupitia AMCOS kwa kuruhusu biashara huria,Nandio maana leo wakulima wa choroko wamempokea Rais Samia kama Mama yao kwa kuipaisha bei ya choroko zao.
Kasi ya Rais Samia imeshangaza wengi hasa wakulima wa mazao ya kibiashara,Bei ya choroko nchi China inafikia US$ 1,581/Tani, karibu Tshs 3,500,000, Bei ipo na ni nzuri nje huenda shida ilikuwa ni haya matozo 232 ambayo Mama Samia aliyoyatoa ndio maana kila kitu ni mseleleko tu.
Kazi iendelee
Viva Tanzania |Viva Samia|Viva CCMView attachment 1936862
Safi Sana Rais wetu, We proud on you,RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO================================