Rais Samia azipeleka juu Mbaazi, Choroko, Dengu, Ufuta, Alizeti, Kahawa, Karafuu. Kwani wakulima wao wanasemaje?

RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO

Mhe Rais baada ya kufanikiwa kuongeza bei ya Mbaazi kwa zaidi ya 3200%/kg,Pamba kwa zaidi ya 125%/kg Alizeti kwa zaidi ya 120%/kg,Sasa ni zamu ya choroko ambayo nayo kwa mfumo uleule bei yake imepanda kwa zaidi ya 100%/kg, Ukitafuta wastani wa ongezeko la bei kwa mazao yote ya kibiashara yaliyovunwa mpaka sasa utagundua Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza kila zao kwa zaidi ya 100%/kg ndani ya kipindi chake hiki kifupi, yaani ameongeza bei mara mbili zaidi ya bei ya awali, Sote ni mashahidi, Wakati bei za bidhaa nyingine mbalimbali ikipanda mwaka hadi mwaka bei ya choroko haijawahi kuvuka Tshs 1,300 kwa zaidi ya mwongo mmoja leo.

Rais pekee mwanamke Barani Africa na Rais wa kwanza Mwanamke EAC, Mama Samia Suluhu Hassan kwakutambua kuwa zaidi ya 80% ya Watanzania anaowaongoza wanategemea kilimo, 58.1% ni wakulima huku 65% ya malighafi zote za Viwandani zinatokana na kilimo na 100% ya chakula chote duniani kinatokana na kilimo huku kilimo kikichangia 27% kwenye Pato la Taifa (GDP) ,Mama ameamua kuwekeza nguvu kubwa kwenye Uzalishaji na Masoko ya mazao yatokanayo na kilimo,Hii ni tofauti kidogo na watangulizi wake wote tangu tupate Uhuru.

Rais Samia amekataa kuuza choroko kwa warehouse recipt Finance (WRF-Stakabadhi ghalani) ili kuondoa gharama za uendeshaji anazokatwa Mkulima kupitia AMCOS kwa kuruhusu biashara huria,Nandio maana leo wakulima wa choroko wamempokea Rais Samia kama Mama yao kwa kuipaisha bei ya choroko zao.

Kasi ya Rais Samia imeshangaza wengi hasa wakulima wa mazao ya kibiashara,Bei ya choroko nchi China inafikia US$ 1,581/Tani, karibu Tshs 3,500,000, Bei ipo na ni nzuri nje huenda shida ilikuwa ni haya matozo 232 ambayo Mama Samia aliyoyatoa ndio maana kila kitu ni mseleleko tu.

Kazi iendelee

Viva Tanzania |Viva Samia|Viva CCMView attachment 1936862
Asante sana,kwa kutujulisha mambo mazuri haya.Tafadhali tujulishe mengi,usichoke.Unatupa matumaini mapya,na kuzidi kuipenda nchi yetu.
 
Mimi ninalima pamba... nafahamu ninachoongea. Wewe unayepata taarifa mitandaoni ni juu yako kubisha na kupotosha wengine kwa chuki au maslahi yako. Unasema hana mapato alafu unasema ushuru? Ushuru sio makato?
Ushuru ni Makato hahahaha!

Ushuru ni fedha anayo pewa AMCOS ili kuendeleza/kufanya shughuli za chama

Ushuru haupo kwenye pamba tu (tsh 33) upo hadi kwenye tumbaku tsh ( 165.6),kwenye ufuta tsh (40) kwa Kila kilo inayozalishwa.a

Hii fedha haikatwi kwenye malipo ya mkulima mkuu mbona unataka danganya watu

Unalima pamba alafu huelewi chochote zaidi ya kulalamika uongo

Hulimi na hujui chochote kuhusu kilimo..endelea kusoma taarifa mitandaoni braza. Hakuna haja ya kubishana.
 
Ungenipinga kwa hoja ningefurahi zaidi ila nimegundua hufahamu chochote
Au akili yako inawaza ushuru uko kwenye Makato ya mkulima

Basi kwa kukusaidia pamba haina Makato maana pembejeo hazikatwi( Wana balansi kwenye bei) Makato ya pembejeo, kodi (kwa mara ya kwanza chini ya mama samia wakulima wa tumbaku wamekatwa kodi 2% ya pato lake) vp? We mkulima wa pamba umekatwa wapi?

Hao wakulima wa pamba wanachukua fedha taslimu hata hisa wala kiingilio kwa baadhi ya AMCOS nyingi hawalipi

Unayajua Makato yanayo mkumba mkulima wa tumbaku kuna mfuko wa pembejeo, kodi na yale ya AMCOS (mf. Ujenzi wa maghala, miradi n.k) ila huwezi wasikia wanaongea uongo kama wewe hapa.
 
Mungu Ibariki Africa,
Mungu ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Rais Samia,

🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Mungu Ibariki Africa,
Mungu ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Rais Samia,

🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Unajibariki huku tunakulaani kwa mitozo yako lukuki jenga uchumi usituletee umama
 
Mwanamke wa kwanza kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa la 76 tangu tupate uhuru ni Mama Samia Suluhu Hassan,

We Proud on you Mama
_________________________
 
[|Kazi anazofanya Rais Samia zinaacha alama kwa kikazi hiki na kizazi kijacho,

Hongera sana Mama Samia wetu, ]|
 
RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO

Mhe Rais baada ya kufanikiwa kuongeza bei ya Mbaazi kwa zaidi ya 3200%/kg,Pamba kwa zaidi ya 125%/kg Alizeti kwa zaidi ya 120%/kg,Sasa ni zamu ya choroko ambayo nayo kwa mfumo uleule bei yake imepanda kwa zaidi ya 100%/kg, Ukitafuta wastani wa ongezeko la bei kwa mazao yote ya kibiashara yaliyovunwa mpaka sasa utagundua Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza kila zao kwa zaidi ya 100%/kg ndani ya kipindi chake hiki kifupi, yaani ameongeza bei mara mbili zaidi ya bei ya awali, Sote ni mashahidi, Wakati bei za bidhaa nyingine mbalimbali ikipanda mwaka hadi mwaka bei ya choroko haijawahi kuvuka Tshs 1,300 kwa zaidi ya mwongo mmoja leo.

Rais pekee mwanamke Barani Africa na Rais wa kwanza Mwanamke EAC, Mama Samia Suluhu Hassan kwakutambua kuwa zaidi ya 80% ya Watanzania anaowaongoza wanategemea kilimo, 58.1% ni wakulima huku 65% ya malighafi zote za Viwandani zinatokana na kilimo na 100% ya chakula chote duniani kinatokana na kilimo huku kilimo kikichangia 27% kwenye Pato la Taifa (GDP) ,Mama ameamua kuwekeza nguvu kubwa kwenye Uzalishaji na Masoko ya mazao yatokanayo na kilimo,Hii ni tofauti kidogo na watangulizi wake wote tangu tupate Uhuru.

Rais Samia amekataa kuuza choroko kwa warehouse recipt Finance (WRF-Stakabadhi ghalani) ili kuondoa gharama za uendeshaji anazokatwa Mkulima kupitia AMCOS kwa kuruhusu biashara huria,Nandio maana leo wakulima wa choroko wamempokea Rais Samia kama Mama yao kwa kuipaisha bei ya choroko zao.

Kasi ya Rais Samia imeshangaza wengi hasa wakulima wa mazao ya kibiashara,Bei ya choroko nchi China inafikia US$ 1,581/Tani, karibu Tshs 3,500,000, Bei ipo na ni nzuri nje huenda shida ilikuwa ni haya matozo 232 ambayo Mama Samia aliyoyatoa ndio maana kila kitu ni mseleleko tu.

Kazi iendelee

Viva Tanzania |Viva Samia|Viva CCMView attachment 1936862
Jibu Mswali haya kwa Ukamilifu,

1.Rais Mnyenyekevu Africa -SAMIA

2.Rais mpole Africa -SAMIA. √

3. Rais mchamungu Africa -SAMIA √

4. Rais rafiki wa wananchi wake Africa -SAMIA √

5. Rais Chaguo la Watanzani 2025-2030 -SAMIA √
 
Uko bukoba ya wapi mkuu?

Wananchi wengi wa Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla wanamkubali sana mama.

Labda wewe ni wale polisi au tra waliokatazwa kutumia mabavu na kinambikia watu makesi kwa hiyo umekosa ulaji...polee...utazoea tu mdogomdogo.
Ni mshamba tu yuko hapa DSM
 
Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Africa Mashariki Kenya bei juu |Hongera Rais Samia,
________________________________
Wakati baadhi ya Watanzani wasiofuatilia mambo wamekuwa wakiilalamikia Serikali ya awamu ya Sita inayoongoza na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imepandisha bei ya Mafuta ya taa, dizeli na Petroli jambo ambalo ni sawa na wao kukosa fadhili juu ya juhudi kubwa na nzuri anazozifanya rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea unafuu wa Maisha wananchi wake kwani Mama anajua nishati ya mafuta ndio karibu kila kitu kwa maisha ya mnyonge wa chini,

Wakati wenzetu wa Rwanda, Burundi, Congo, Uganda, Kenya wakiimezea mate bei ya mafuta ya Tanzania Sisi Watanzani tunashindwa kuthamini na kutambua mchango wa Rais wetu katika kudhibiti bei ya nishati ya Mafuta nchini,Hii si sawa kabisa,

Jarida maarufu Africa la "STAR " limeitaja Tanzania kuwa ni nchi ya chini kabisa kwa bei ya mafuta ya taa, dizeli na Petroli ukilinganisha na bei za nchi nyingine za EAC hivi majuzi,

Kwamsiofahamu,Bei ya Petroli Kenya ni Ksh 134.72 sawa na Tshs 2,831,Wakati Uganda ni Ksh 131 sawa na Tshs 2,751,Rwanda ni Ksh 121.08 sawa na Tshs 2,540, Wakati Tanzania bei ya Petroli ni Ksh 115.26 sawa na Tshs 2,421 kwenye Pump,

Wakati huohuo bei ya dizeli nchini Kenya ni Ksh 117.28 sawa Tshs 2,463,Uganda ni Ksh 115.60 sawa na Tshs 2,428 huku Rwanda bei ya dizeli ikifikia Ksh 110 karibu Sawa na Tshs 2.310 Wakati Tanzania bei ya dizeli imefikia Ksh 106.90 sawa na Tshs 2,245 tu,Tuendelee kumwombea rais wetu kipenzi cha wengi Mama Samia Suluhu Hassan,

______________________________

Kenyans are paying up to Sh19 more for a litre of petrol compared to their East African neighbours of Tanzania, Uganda and Rwanda as heavy taxation takes a toll on consumers.

Motorists and transporters are paying more than double what their counterparts in Addis Ababa are paying, where a litre of petrol and diesel are retailing at an equivalent of Sh51.28 and Sh44.66, respectively.

In Uganda, which imports part of its fuel through the Port of Mombasa, a litre of super petrol is retailing at Sh131 which is lower compared to Kenya's Sh134.72.

A litre of diesel in the neighbouring country is slightly higher, by Sh2, retailing at Sh117.28 compared to Sh115.60, despite the products going through Kenya into the landlocked country.

In Dar es Salaam, a litre of super petrol is retailing at Sh115.26, which is Sh19.46 less than that of Nairobi.

Diesel is going for Sh106.90 while kerosene is retailing at Sh103.34, compared to Nairobi's pump price of Sh110.82.

A litre of petrol and diesel in Kigali(Rwanda) is Sh121.08 and Sh110, respectively, despite being a land-locked country importing through Tanzania and Kenya.

On Tuesday, fuel prices in Kenya hit a historic high after prices of petrol, diesel and kerosene increasing by Sh7.58, Sh7.94 and Sh12.97, respectively.

“The prices are inclusive of the eight per cent Value Added Tax in line with the Finance Act 2018, the Tax Act 2018, the Tax Laws(Amendment) Act 2020 and the revised rates for excise duty adjustment for inflation,” EPRA director general Daniel Kiptoo said.

The increase came despite lower global crude prices in August which averaged $70.75 a barrel, down from $75.17 in July, and a drop in the landed cost of fuel at the Port of Mombasa.

Consumers in the country pay at least nine different taxes on fuel products which constitute the biggest share of final pump prices.

They include excise duty which takes the lion's share of Sh21.95 of every litre of petrol followed by the Road Maintenance Levy (Sh18).

VAT has been adjusted upwards to Sh9.98 while the Petroleum Development levy is charged at Sh5.40.

Other levies included in the fuel pricing are Petroleum Regulatory Levy, Railway Development Levy, Anti-adulteration Levy, Merchant Shipping Levy and the Import Declaration Fee.

The high fuel prices are expected to increase the cost of living in the country, where inflation has been rising since April, hitting an 18-month high of 6.57 in August.

Manufacturers and transporters have since warned of a jump in the cost of goods and services as they move to pass the high operational costs, occasioned by the fuel price jump, to the consumers.

Agricultural products are also expected to become costlier as diesel is a key input in production, mainly in large scale farming where machinery is used.

A number of other taxes introduced by the Finance Act 2021 are also expected to impact the cost of production in the country, affecting the prices of finished goods in the retail market.

The Consumers Federation of Kenya (COFEK) has since called on the President to request parliament to review the Finance Act.

“We need to ease the cost of living especially by dropping added taxes on cooking gas, fuel and essentials foodstuffs,” Secretary-General Stephen Mutoro said.
 
RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO

Mhe Rais baada ya kufanikiwa kuongeza bei ya Mbaazi kwa zaidi ya 3200%/kg,Pamba kwa zaidi ya 125%/kg Alizeti kwa zaidi ya 120%/kg,Sasa ni zamu ya choroko ambayo nayo kwa mfumo uleule bei yake imepanda kwa zaidi ya 100%/kg, Ukitafuta wastani wa ongezeko la bei kwa mazao yote ya kibiashara yaliyovunwa mpaka sasa utagundua Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza kila zao kwa zaidi ya 100%/kg ndani ya kipindi chake hiki kifupi, yaani ameongeza bei mara mbili zaidi ya bei ya awali, Sote ni mashahidi, Wakati bei za bidhaa nyingine mbalimbali ikipanda mwaka hadi mwaka bei ya choroko haijawahi kuvuka Tshs 1,300 kwa zaidi ya mwongo mmoja leo.

Rais pekee mwanamke Barani Africa na Rais wa kwanza Mwanamke EAC, Mama Samia Suluhu Hassan kwakutambua kuwa zaidi ya 80% ya Watanzania anaowaongoza wanategemea kilimo, 58.1% ni wakulima huku 65% ya malighafi zote za Viwandani zinatokana na kilimo na 100% ya chakula chote duniani kinatokana na kilimo huku kilimo kikichangia 27% kwenye Pato la Taifa (GDP) ,Mama ameamua kuwekeza nguvu kubwa kwenye Uzalishaji na Masoko ya mazao yatokanayo na kilimo,Hii ni tofauti kidogo na watangulizi wake wote tangu tupate Uhuru.

Rais Samia amekataa kuuza choroko kwa warehouse recipt Finance (WRF-Stakabadhi ghalani) ili kuondoa gharama za uendeshaji anazokatwa Mkulima kupitia AMCOS kwa kuruhusu biashara huria,Nandio maana leo wakulima wa choroko wamempokea Rais Samia kama Mama yao kwa kuipaisha bei ya choroko zao.

Kasi ya Rais Samia imeshangaza wengi hasa wakulima wa mazao ya kibiashara,Bei ya choroko nchi China inafikia US$ 1,581/Tani, karibu Tshs 3,500,000, Bei ipo na ni nzuri nje huenda shida ilikuwa ni haya matozo 232 ambayo Mama Samia aliyoyatoa ndio maana kila kitu ni mseleleko tu.

Kazi iendelee

Viva Tanzania |Viva Samia|Viva CCMView attachment 1936862
Mitego ya Rais Samia ya Royal Tour yanasa TZS 158.4bl | Hoteli nne kubwa za kitali hadhi ya Kempinski kujengwa Serengeti, Ngorongoro,Manyara & Tarangire,

________________________________

Wawekezaji toka Bulgaria matokeo ya Royal Tour kuwekeza US$ 72M karibu sawa na Tsha 158.4BL kwa kujenga Hotel nne kubwa za nyota tano ( Five Stars Hotel ) katika mbunga za Serengeti, Ngorongoro, Manyara & Tarangire,

Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi kifupi cha miezi sita umeonesha matokea makubwa katika kila kona ya nchi, madhalani uwekezaji tayari umekua kwa 400% toka uwekezaji wa US$ 510M hadi US$ 2.98BL sawa na Tshs 7trilioni pesa ambayo itamfikila kila Mtanzania popote alipo katika njia moja au nyingine,

#Mliokuwa mnalalamikia gharama ya Royal Tour mnasemaje kuhusu hizi bilioni 158.4 za fasta !??

.........Kazi iendelee.........

C&P
 
Na bei ya mahindi nayo kapandisha kutoka kununua kg 500 kwa sasa mahindi yanauzwa kg Moja tsh 2500 yaani imepanda mno wakulima wa mahindi wanasheherekea huko gunia now ni tsh 250,000 yes laki mbili na nusu! Yaani songea, Mbeya, Rukwa, Katavi mahindi yote kanunua Samia Suluhu kaweka store! Michele nao bei juu kwa sasa kg Moja tsh 3000! Ndiyo!
Mnatuletea ujinga hapa! Hayo mazao yaliyopanda bei before yalikuwa yanauzwa tsh ngapi? Yaani kabla ya ccm ya mwendazake na chief hangaya yalikuwa yanauzwa how much? Uongozi wenu wa kijinga ulisababisha yashuke bei leo bei imerudi ya zamani mnapongeza? What's wrong with you? Mnajichekesha na kucheka wenyewe! Inept people.
 
Back
Top Bottom