Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wa awamu ijayo utarudi Musiba wewe tena wewe.Mleta mada ndio Musiba wa awamu hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa awamu ijayo utarudi Musiba wewe tena wewe.Mleta mada ndio Musiba wa awamu hii
Komenti hapa hapaSisi wakulima wa mahindi hatujakumbukwa kabisa,,sijui tutakomenti wapi
Kosa lake ni kutaka kutuaminisha kuwa Bei zimepanda kwa jitihada za Rais, ilhali kwingineko duniani zimepanda piaAcha kutisha wewe kama Tanzania imepanda na mwandishi anasema bei imepanda kosa Lake liko wapi?
Hivi uliandika huko nyuma:Hizi akili huwa wanakuwa nazo wafuga majini. Kwenye supply and demand unaleta habari za nuru na nyota? Hauko serious
Soko la Kenya bado halijaiva. Kule walikokimbilia kununua mahindi bado hawajamaliziana nao. Subira inatakiwa. Wanaangalia uwezekana wa kupeleka Sudan.Mahindi bado amboni tsh. 1800-2000
Heee, Gobole upo! Demand na Supply! Unanikumbusha nadharia za Shule, wasomi mna mambo. Kama demand na supply imekwenda vizuri baada ya Mama kuingia madarakani si ajabu tukitampa mi-5 mingine au sio........Haya mambo yanaamuliwa na Demand vs Supply sio na mtu...ht enzi za JPM korosho ilifika mpaka 4000 kwa kilo then ika drop na haijawahi kufika hapo tena...bei ktk soko la dunia ikipanda lazima na huku ipande, leo mnamsifia kesho bei ktk soko la dunia ikishuka mtatafta pa kuficha nyuso zenu. So mjitahidi kuweka akiba ya maneno.
Huu ni msimu wa neema ktk mazao duniani kote yaliko mazao, na si juhudi ya mama
Mimi napenda mpunga uwe chini ili wapenda mchele tuendelee kifaidi ..ila tatizo ukiendelea kuwa chini na ninyi wakulima mtaacha kulima ..haaaa yani biashara ya kilimo ni kazi haswa.Unajua bei ya Mpunga, na mahindi watu wanavyoteseka alaf na ilivyo gharama sasa kuzilima..
unajua bei ya mafuta ya kula, mbolea, nondo, bati, cement na mm nitaendelea..
yaan sasa hv et niuze gunia 2 za mpunga ndio ninunue mfuko mmoja wa mbole. shame on you
Acha kujitoa ufahamu wewe. Huyu Bi Hangaya kapandisha bei ya zao gani Tz? Au yeye ndio ameshika soko lote la dunia, kwamba ndio anapanga bei za mazao.Kwanini huu msimu uje wakati wa Mama!?
Kwa namna hii kuliongoza hili taifa ni kazi ndogo sana aise. Maana vichwa vyenu vyingi vinakamatika kirahisi mnoo mnaa akili za kushikiwa.Heee, Gobole upo! Demand na Supply! Unanikumbusha nadharia za Shule, wasomi mna mambo. Kama demand na supply imekwenda vizuri baada ya Mama kuingia madarakani si ajabu tukitampa mi-5 mingine au sio........
Bei ya pamba ilitangazwa mapema tu hata kabla ya kifo cha maguKanda ya ziwa pamba imenunuliwa kwa tsh. 1750, toka tsh. 900 ya mwaka jana. Bahati mbaya wengi hawakulima mwaka jana baada ya kuchoshwa na Bei,mkopo na mvua kubwa zilizopitiliza na ugonjwa wa pamba kuzeeka ( kuwa nyekundu) kabla ya wakati.
Bei elekezi I iliyotangazwa ni tsh. 900-1100. Hapo kuna makato ya amcosBei ya pamba ilitangazwa mapema tu hata kabla ya kifo cha magu
Na mwaka jana bei ilikuwa chini kutokana na solo la dunia kushuka
Acha kuzungumza usicho kifahamu bei elekezi ni 1,100 kwa mkulima ila inaweza kupanda zaidi ya hapo (mfano huko mwanza, simiyu wamenunuliwa hadi 1250-1300)Bei elekezi I iliyotangazwa ni tsh. 900-1100. Hapo kuna makato ya amcos
Mimi ninalima pamba... nafahamu ninachoongea. Wewe unayepata taarifa mitandaoni ni juu yako kubisha na kupotosha wengine kwa chuki au maslahi yako. Unasema hana mapato alafu unasema ushuru? Ushuru sio makato?Acha kuzungumza usicho kifahamu bei elekezi ni 1,100 kwa mkulima ila inaweza kupanda zaidi ya hapo (mfano huko mwanza, simiyu wamenunuliwa hadi 1250-1300)
AMCOS hana Makato yoyote kwenye pamba zaidi ya ushuru wake tsh 35 na chama kikuu tsh 10 kwa kilo
Labda unambie kuna Makato gani ya AMCOS na yanakatwa wap?