Rais Samia azipeleka juu Mbaazi, Choroko, Dengu, Ufuta, Alizeti, Kahawa, Karafuu. Kwani wakulima wao wanasemaje?

Vizuri sana kabisa
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Hivi mtu anafanya yote haya bado hatuoni tu khaaa, Mama tuko na wewe
 
Good
 
Binafsi bado sijaona kama Rais Samia, Mama Chapa kazi wakulimu tunakwelewa Sana,
 
umesahau na zao la tozo nalo lipo juu.
 
Kaziiendelee
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,

Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 niwawekwzaji wakubwa kabisa,

VIVA SAMIA VIVA||VIVA TANZANIA VIVA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…