PreGE2025 Rais Samia azungumza na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa Ikulu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025.

IMG_3965.jpeg

Rais Dkt. Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili. Viongozi hao wa Kanisa wameipongeza na kuishukuru Serikali kwa ushirikiano inaoutoa kwa Kanisa hilo.

IMG_3966.jpeg

Aidha, kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya akili, Serikali imeahidi kushirikiana na Kanisa ili kujenga Kituo kikubwa zaidi ili watoto wengi waweze kupata huduma hiyo.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025.

Rais Dkt. Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili. Viongozi hao wa Kanisa wameipongeza na kuishukuru Serikali kwa ushirikiano inaoutoa kwa Kanisa hilo.

Aidha, kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya akili, Serikali imeahidi kushirikiana na Kanisa ili kujenga Kituo kikubwa zaidi ili watoto wengi waweze kupata huduma hiyo.
Hongera kwa kanisa....nimesikia kituo kikubwa kinajengwa Bagamoyo...Kiromo....kilichopo Dar ni kidogo...hongera kanisa.....
 
Ni kawaida kwa kiongozi wa serikali mwenye wananchi wengi waliomwezesha kupata kura kukutana na viongozi wa dini wenye waumini wengi nchi nzima

Sababu hao viongozi wa dini zenye waumini wengi ni wawakilishi wao kuliko hata wabunge na huenda na solution sio kelele

Raisi hawezi kutana na mtu kama Askofu Mwamakula ambaye hata kanisa analosalisha Dar hakuna ajuaye

Hao wanaachiwa akina Lisu ndio wazurure naye.Waumini hana kakofia na nguo ya askofu kajishonea mwenyewe nyumbani kwake na cherehani yake
 
Aiseee!
 
Project nzuri sana.

Nimpongeze Rais na Kanisa kwa ujumla.

Watoto wenye mahitaji maalum hawapaswi kuwekwa pembeni.
 
Hii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze
================

Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa

Screenshot_2025-04-11-23-57-36-1.png
 
View attachment 3300968
Njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom