PreGE2025 Rais Samia azungumza na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa Ikulu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yaani Rais wa nchi aanze kuwatafuta viongozi wa dini leo ?!! Khaaa

Ukweli ni kuwa rais kila sekunde yuko nao kwani yeye ndiye kiongozi wa MISIKITI ,MAKANISA na vilinge vyote.....

Nani awezaye kuanzisha kanisa bila ithibati ya dola ?!!
Nani awezaye kujenga msikiti bila ithibati ya dola ?!!

Jumatatu nikailipe serikali ada ya leseni ya duka langu la dawa za asili !!
 
Hii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze
================

Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa

View attachment 3300968
Hata mujaribu kuleta uzushi na hila za namna gani, hamtashinda tu kwa uwezo wa Mungu wanafiki wakubwa nyie. Yaani watu wasiendelee na mipango yao kisa Kuna mipumbavu flani inayoitwa chadema (nyumbu) itazusha kitu.......hiyo siku zote ipo kwa ajili ya kuzusha hivyo hata sio mijitu ya kuifikiria.
Labda dada'angu ungejikita tu kuripoti habari zenu, hii reporting Yako imekaa kinafiki sana na hivyo naona kama unajiharibia zaidi humu kuliko kujijenga.
 
Ujinga hilo nyumbu....yameishiwa.
 
hivi huwa unavuta kushabo au skanka? Endelea kupalilia kibarua chako chamani
 
Hii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze
================

Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa

View attachment 3300968
Wameanza na kanisa lao, ambalo wanalimudu, ambalo walifanikiwa kumsimika Askofu waliyemtaka ,ambaye yupo kwenye payroll ya Serikali, kwa kumuogopa Bangoza.

Good news hawezi kukuchezea kanisa langu naloabudu.Kanisa Katoliki la Mitume.

Asubirie ujumbe wa Pasaka Kutoka Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki,
Na asubiri waraka Rasmi wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Kifupi K.K.K.T mbele ya serikali, ni sawa na "MCHUNGWA WA UANI" ambao mwenye mchungwa anachuma machungwa muda wowote anao jisikia.

Kanisa Katoliki lingekuwa na mfumo wa kuchagua Maaskofu kama K.K.K.T , basi leo Rais wa Baraza la Maaskofu wa T.E.C na Askofu wa Jimbo la Lindi Wolfgang Pissa ,angekuwa amesimikwa au amekataliwa na "WAVAA MIWANI NA SUTI NYEUSI TOKA NYUMBA NYEUPE" wanaoishi pia katika "eagle house" Kama ilivyokuwa kwa K.K.K.T kutegemea msimamo wake.

Aksante sana Mungu, aksante Wazazi wangu, kwa Kuzaliwa Mwanaume, kwa kubatizwa Mkristu wa Kanisa Moja Takatifu Katolki la Mitume, na kunilea kwa misingi ya Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume.
Sifa ya kanisa la Roma ni " KANISA MOJA, TAKATIFU,KATOLIKI LA MITUME.

🙏🙏🙏
 
Yaani Rais wa nchi aanze kuwatafuta viongozi wa dini leo ?!! Khaaa

Ukweli ni kuwa rais kila sekunde yuko nao kwani yeye ndiye kiongozi wa MISIKITI ,MAKANISA na vilinge vyote.....

Nani awezaye kuanzisha kanisa bila ithibati ya dola ?!!
Nani awezaye kujenga msikiti bila ithibati ya dola ?!!

Jumatatu nikailipe serikali ada ya leseni ya duka langu la dawa za asili !!
Wewe ni mpumbavu, kila kanisa Lina viongozi wake, na namna ya kupatikana,

Ni lini samia alisomea upadre?? Mi lini Samia alisomea Falsafa, lini alisomea Tauhidi tayari Mungu??

Ni lini Samia alipakwa MAFUTA kuwa shemasi??

Ni lini Samia alipakwa mafuta kuwa Padre??

Ni lini Samia alikuwa Askofu??

Ni wapi Samia alipewa hizo hatua na sacrament katika kanisa???

Ni Askofu Gani alimpaka mafuta bkatika hizo hatua??

Ni nani alishuhudia Samia akipakwa mafuta??

Ni lini Mwanamke katika kanisa Katoliki aliruhisiwa kuwa kasisi?? Askofu??

Ni sheria ipi ya kanisa CANON LAW iliyohalalisha??

Kama wewe unadhani Samia ni Kiongozi nwa madhehebu yote, aende Juma linaloanza kesho saint Joseph, au saint Peter Osterbay akaongoze ibada za Juma kuu.

Kama Samia ni Kiongozi wa dini, basi ni huko kwenu,sio kwenye Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume.

Acha kujitafutia laana ya kunasibisha Samia na na mambo ya dini.

Bumunda mkubwa wewe.
 
Hii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze
================

Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa

View attachment 3300968
Asante kwa taarifa hii,Askofu Dr Malasusa,alipaswa pia kumuulizia kuhusu reform ambazo KKKT walizitaka na kuziwasilisha kule Dodoma,zikapuuzwa!
View: https://youtu.be/lVcGJIsWZ9g?si=rS-lU3Kh056tnUeu

P
 
Hii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze
================

Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa

View attachment 3300968
Post ya kibwege sana hii
 
Wewe ni mpumbavu, kila kanisa Lina viongozi wake, na namna ya kupatikana,

Ni lini samia alisomea upadre?? Mi lini Samia alisomea Falsafa, lini alisomea Tauhidi tayari Mungu??

Ni lini Samia alipakwa MAFUTA kuwa shemasi??

Ni lini Samia alipakwa mafuta kuwa Padre??

Ni lini Samia alikuwa Askofu??

Ni wapi Samia alipewa hizo hatua na sacrament katika kanisa???

Ni Askofu Gani alimpaka mafuta bkatika hizo hatua??

Ni nani alishuhudia Samia akipakwa mafuta??

Ni lini Mwanamke katika kanisa Katoliki aliruhisiwa kuwa kasisi?? Askofu??

Ni sheria ipi ya kanisa CANON LAW iliyohalalisha??

Kama wewe unadhani Samia ni Kiongozi nwa madhehebu yote, aende Juma linaloanza kesho saint Joseph, au saint Peter Osterbay akaongoze ibada za Juma kuu.

Kama Samia ni Kiongozi wa dini, basi ni huko kwenu,sio kwenye Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume.

Acha kujitafutia laana ya kunasibisha Samia na na mambo ya dini.

Bumunda mkubwa wewe.
Unaangalia picha kwa juu juu tu...pole yako....

Ni wapi nimeandika Samia amesomea CANON LAWS?!!

Makanisa na misikiti iko juu ya ardhi ya dola la Tanzania....
Jiongezee maarifa....
 
Hii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze
================

Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa

View attachment 3300968
Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa🥺
 
Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Si tulifuta salaam za kumtaja Bwana tukaja na Jamhuri ya mama kazi iendelee
 
Back
Top Bottom