PreGE2025 Rais Samia azungumza na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa Ikulu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025.

View attachment 3300468
Rais Dkt. Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili. Viongozi hao wa Kanisa wameipongeza na kuishukuru Serikali kwa ushirikiano inaoutoa kwa Kanisa hilo.

View attachment 3300469
Aidha, kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya akili, Serikali imeahidi kushirikiana na Kanisa ili kujenga Kituo kikubwa zaidi ili watoto wengi waweze kupata huduma hiyo.
Nilidhani wameenda kumuombea Tal asamehewe.
 
Naona ameanza kutafuta mamluki wake wafia tumbo.
 
Hii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze
================

Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa

View attachment 3300968
Kama kweli yeye anaweza MAPAMBANO akamguse wa ROMA YEYOTE YULE aone itakavyokuwa
 
Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025.

View attachment 3300468
Rais Dkt. Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili. Viongozi hao wa Kanisa wameipongeza na kuishukuru Serikali kwa ushirikiano inaoutoa kwa Kanisa hilo.

View attachment 3300469
Aidha, kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya akili, Serikali imeahidi kushirikiana na Kanisa ili kujenga Kituo kikubwa zaidi ili watoto wengi waweze kupata huduma hiyo.
Msaliti namba moja huyo mpuuzi gana maana
 
Hii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze
================

Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa

View attachment 3300968
Malasusa ana uza kanisa kwa vipande vya fedha hafai mshenzi kabisa huyu
 
Masasusa, sisi KKKT hatutaki urafiki ya huyu mama, sisi tuna hofu ya Mungu na hao watoto wetu tumewachangia sasa umemwita wa nini?
Ukizidi tutagoma kutoa sadaka.
 
Huyo mwenzao. Kama MUFTI TU
 
Back
Top Bottom