Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Dola la nchi ni zaidi ya dini za kiislamu na kikristo kwani Tanganyika ilikuwepo kabla ya waarabu na wazungu kuja kufanya BIASHARA......Ili waokoe jahazi bila mafanikio
umelewa kushabo, hebu lala moshi upungue akilini mwakoUjinga ni upumbavu wa akili zako mwenye shobo, usinifate fate pita kushoto
😆😆😆😆umelewa kushabo, hebu lala moshi upungue akilini mwako
Hata mujaribu kuleta uzushi na hila za namna gani, hamtashinda tu kwa uwezo wa Mungu wanafiki wakubwa nyie. Yaani watu wasiendelee na mipango yao kisa Kuna mipumbavu flani inayoitwa chadema (nyumbu) itazusha kitu.......hiyo siku zote ipo kwa ajili ya kuzusha hivyo hata sio mijitu ya kuifikiria.Hii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze
================
Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa
View attachment 3300968
Ujinga hilo nyumbu....yameishiwa.Yaani Rais wa nchi aanze kuwatafuta viongozi wa dini leo ?!! Khaaa
Ukweli ni kuwa rais kila sekunde yuko nao kwani yeye ndiye kiongozi wa MISIKITI ,MAKANISA na vilinge vyote.....
Nani awezaye kuanzisha kanisa bila ithibati ya dola ?!!
Nani awezaye kujenga msikiti bila ithibati ya dola ?!!
Jumatatu nikailipe serikali ada ya leseni ya duka langu la dawa za asili !!
Ila hapana, nyie Kuna kitu mnafanywa aisee, sio Bure........unajua mna takataka nyingi sana?Ili waokoe jahazi bila mafanikio
Hiyo misukule haiwezi kuelewa ulichosena hapa, imejaa ujinga ujinga tu vichwani mwao.Kila mtu na shida zake na jitihada zake Mungu ni wetu sote nitahangaika na yangu tu ya wengine pesa mbele hutaki acha ufala mwisho kitonga
Video ya UHAINI wa mwenyekiti Lissu haihitaji tochi......Ujinga hilo nyumbu....yameishiwa.
Misukure imeshakatwa NDIMI kula yao ni KULAMBA UNGA....Hiyo misukule haiwezi kuelewa ulichosena hapa, imejaa ujinga ujinga tu vichwani mwao.
hivi huwa unavuta kushabo au skanka? Endelea kupalilia kibarua chako chamaniHata mujaribu kuleta uzushi na hila za namna gani, hamtashinda tu kwa uwezo wa Mungu wanafiki wakubwa nyie. Yaani watu wasiendelee na mipango yao kisa Kuna mipumbavu flani inayoitwa chadema (nyumbu) itazusha kitu.......hiyo siku zote ipo kwa ajili ya kuzusha hivyo hata sio mijitu ya kuifikiria.
Labda dada'angu ungejikita tu kuripoti habari zenu, hii reporting Yako imekaa kinafiki sana na hivyo naona kama unajiharibia zaidi humu kuliko kujijenga.
Tulia nyumbu, ajenda imeshadorora. Mnajifariji tu humu.hivi huwa unavuta kushabo au skanka? Endelea kupalilia kibarua chako chamani
Wameanza na kanisa lao, ambalo wanalimudu, ambalo walifanikiwa kumsimika Askofu waliyemtaka ,ambaye yupo kwenye payroll ya Serikali, kwa kumuogopa Bangoza.Hii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze
================
Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa
View attachment 3300968
Wewe ni mpumbavu, kila kanisa Lina viongozi wake, na namna ya kupatikana,Yaani Rais wa nchi aanze kuwatafuta viongozi wa dini leo ?!! Khaaa
Ukweli ni kuwa rais kila sekunde yuko nao kwani yeye ndiye kiongozi wa MISIKITI ,MAKANISA na vilinge vyote.....
Nani awezaye kuanzisha kanisa bila ithibati ya dola ?!!
Nani awezaye kujenga msikiti bila ithibati ya dola ?!!
Jumatatu nikailipe serikali ada ya leseni ya duka langu la dawa za asili !!
Asante kwa taarifa hii,Askofu Dr Malasusa,alipaswa pia kumuulizia kuhusu reform ambazo KKKT walizitaka na kuziwasilisha kule Dodoma,zikapuuzwa!Hii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze
================
Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa
View attachment 3300968
Post ya kibwege sana hiiHii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze
================
Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa
View attachment 3300968
Unaangalia picha kwa juu juu tu...pole yako....Wewe ni mpumbavu, kila kanisa Lina viongozi wake, na namna ya kupatikana,
Ni lini samia alisomea upadre?? Mi lini Samia alisomea Falsafa, lini alisomea Tauhidi tayari Mungu??
Ni lini Samia alipakwa MAFUTA kuwa shemasi??
Ni lini Samia alipakwa mafuta kuwa Padre??
Ni lini Samia alikuwa Askofu??
Ni wapi Samia alipewa hizo hatua na sacrament katika kanisa???
Ni Askofu Gani alimpaka mafuta bkatika hizo hatua??
Ni nani alishuhudia Samia akipakwa mafuta??
Ni lini Mwanamke katika kanisa Katoliki aliruhisiwa kuwa kasisi?? Askofu??
Ni sheria ipi ya kanisa CANON LAW iliyohalalisha??
Kama wewe unadhani Samia ni Kiongozi nwa madhehebu yote, aende Juma linaloanza kesho saint Joseph, au saint Peter Osterbay akaongoze ibada za Juma kuu.
Kama Samia ni Kiongozi wa dini, basi ni huko kwenu,sio kwenye Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume.
Acha kujitafutia laana ya kunasibisha Samia na na mambo ya dini.
Bumunda mkubwa wewe.
Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa🥺Hii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze
================
Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Samia pamoja na viongozi hao wamejadili kuhusu utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum hususan wenye changamoto ya afya ya akili, ambapo Serikali imeahidi kushirikiana na kanisa kujenga kituo kikubwa
View attachment 3300968
Asante kwa taarifa hii,Askofu Dr Malasusa,alipaswa pia kumuulizia kuhusu reform ambazo KKKT walizitaka na kuziwasilisha kule Dodoma,zikapuuzwa!
View: https://youtu.be/lVcGJIsWZ9g?si=rS-lU3Kh056tnUeu
P
Si tulifuta salaam za kumtaja Bwana tukaja na Jamhuri ya mama kazi iendeleeRais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.