Rais Samia, Bado hujaona hili ni tatizo tu?

katika watu wa kwanza anaotakiwa kuwapiga chini ni huyo, it is as if anamdharau kwa kuwa ni mwanamke kutokana na mentality ya kidini. Aanze kula pensheni umri ukiwa bado.
 
Ndiyo maana tunasema hicho chama Cha kinafiki, hakuna kiongozi yeyote wa serikali aliye Pinga Kinga ya Covid kuletwa, wote wanasema ije ila kabla haijaanza kutumika wataalamu wetu wajiridhishe Kama kweli ndiyo Kinga kusudiwa, na Hilo ni la muhimu sana, ww usidhani Kinga watakayo pewa Marekani Ina ubora sawa na itakayo kuja Tz, Acha kuchonganisha viongozi na Rais,

Kuhusu alicho sema Gwajima kwamba watu wanapewa Rushwa na Bill.. Yeye direct kwa speach hiyo alimlenga Gaidi, na ukumbuke Gaidi yy alipo Rudi tu kutoka alipo kuwepo ndipo akaanza harakati za kuhimiza chanjo, na juzi mwanza kadiriki kusema iwe lazima, Sasa mtu Kama huyo utamuelewaje?
 
Namuomba Mheshimiwa SAMIA amchukulie hatua za kinidhamu huyu Gwajima.
"Unasema rais anashadadia"!!!!

Huwezi kutumia lugha ya kejeli namna hii kwa rais.
Mdigeuze mada hspa wapuuzi nyie, Gwajima hakusema Rais ana shadadia, Gwajima alimlenga Gaidi, Yule aliye diriki mpaka kusema chanjo iwe lazima kwa kila Mtanzania, yule aliye Rudi toka ughaibuni na kudai kachanja Kumbe Kesha kunjiwa za kwake
 
Mama Samia kuna mchezo Anachezewa, katengenezewa zengwe achukiwe na chadema kwa kumkamata mbowe, katengenezewa zengwe achukiwe na wananchi kwa Tozo za miamala ya simu, halafu mwisho wanampiga ndani ya serikali, kundi la mwendazake lina nguvu bado alipaswa kuliteketeza kabisa
 
Mama ni kama yuko likizoni.

Ngoja akirudi ofisini atafanyia kazi maoni yenu,kuweni na subra.
 
Hivi huyu mcheza porno anapataje watu wengi hivyo wa kwenda kumsikiliza? Dunia kweli haiishi maajabu! Neno la Mungu ndio unakwenda kulipata kwa mtu wa aina hii?
Wakati akiwa mshenga wa kumleta Lowasa chadema hukuwa mcheza porno?

Wakati chadema mnaenda kanisani kwake kila jumapili na kukaa siti za mbele ili kusikiliza ubuyu wa bashite hakuwa mcheza porno?
 
Yericko sasa unanena kwa lugha!

Tulikuonya hukusikia. Na bado,!

Mwenzio malisa sijui kajificha wapi
 
Ww mpuuzi kama walivyowapuuzi wengine! Serikali ya awamu ya 5 unayoiita ya kudharimu huyo mama yako hakuwemo? Acha ujinga wa kuweka kabali/wedge, hutafanikiwa!
Mungu ibariki Tz!
Yericko ni moja ya wapumbavu waliojazana chadema pale!
.
Anaita genge la selikali iliyopita kanakwamba Samia katokea chadema!
 
inawezekana anawaogopa sukuma gang...laiti angenipa urais kwa masaa sita tu ndipo wangejua kwa nini utingo ni mtu muhimu sana wakati wa safari
Sukuma gang ni kina nani?
 
Chanjo kwa Tanzania inatakiwa serikali isimame wima itoe elimu ya haraka na ya lazima umuhimu na usalama wa chanjo husika.
Ile fomu ambayo ilitembea mitandaoni ambayo haikukanushwa ikielekeza mchomwa chanjo akipata madhara baada ya kuchomwa chanjo hasiilamu serikali, ndiyo ilivuruga imani ya walio wengi sana juu ya chanjo hii. Suala la kusema hata wakufanya operation huwa wanasainishwa fomu halina mashiko, kwa sababu tunachomwa sindano za kwinini....lakini hatujawahi kusainishwa fomu za namna hii.

Serikali ikiuhakikishia umma kuwa chanjo ni salama na kuwa ukipata madhara baada ya kuchomwa chanjo serikali itawajibika .....Na ninadhani umma wa watanzania utaunga mkono zoezi.

Kwa hiyo mawazo yanayoibuliwa na watanzania nafikiri yanachagizwa na msimamo wa serikali wa "kutokuiamini "chanjo yenyewe.
 
katika watu wa kwanza anaotakiwa kuwapiga chini ni huyo, it is as if anamdharau kwa kuwa ni mwanamke kutokana na mentality ya kidini. Aanze kula pensheni umri ukiwa bado.
Yani wewe unamfahamu sana PM kuliko Samia ambae amefanya nae kazi zaidi ya miaka 6?
 
Acha ujinga dogo!

Kwamba yote hayo uliyoyataja Samia kashtukia tu yamefanyika?

Sasa kwanini asiingilie yeye kama rais?

Unajua chadema wengi hamna akili! Toka kipindi cha JPM tulikuwa tunawambia huo ni mfumo, ambao umeongoza nchi toka Nyerere. Sasa yanapotekea haya mnanaza kumtetea Samia kwamba siyo yeye ila kuna watu wamemzunguka. Pumbavu kabisa
 
Yaan huyu anatoa kebehi kwa Rais halafu bado wanamchekea,
 
Na wewe uwe na akili ,Chanjo sio tiba 100 % bali ina boost kiasi fulani cha Kinga hakuna waliposema ukipata chanjo 2 huugui bali chance ya kuugua unaipunguza.

ewa wangu pale pale maana mahali unfortunately mutation ya kirusi bado inaendelea.I
Kwa hiyo chanjo ni aina mpya ya ARV mpya!? Hizi hela mli"zokula" sijui....mtazilipaje!
 
Huyu ndugu GWAJIMA anashangaza sana.....

Huyu ndugu yetu GWAJIMA anatafakarisha Sana.....yaani anatafakarisha mno.......


Kwa kweli ANASTAAJABISHA....

Manesi na madaktari wetu wako mstari wa mbele katika KUTUUGUZA....sasa wao kwa wao wakishaajishiana WACHOMWE chanjo ,Gwajima ANAWAOMBEA WAFE KWA JINA LA YESU 😲😲😲

Manesi na madaktari wetu wakitushajiisha sisi wananchi tukachomwe CHANJO ,hatimaye Gwajima ANAWAOMBEA WAFE KWA JINA LA YESU 😲😲😲

Kwanini tunavitumia VITAKATIFU VYA MADHABAHU kueneza propaganda za "conspiracy theories"?!!!

MAPAMBANO DHIDI ya UVIKO 19 ni Vita KUBWA....iweje tunaanza kusalitiana katika uwanja wa MAPAMBANO ?!!

Hivi Gwajima hana ndugu aliyempoteza kutokana na huu UGONJWA?!!

Hivi Gwajima hana jirani ,rafiki aliyempoteza kutokana na UVIKO 19?!!

Hivi Gwajima hana mfuasi wake kanisani ambaye ameangushwa na UVIKO 19,na wafuasi wake hawana ndugu walio wahanga?

Hivi Jimboni KAWE hakuna mgonjwa wa UVIKO....hakuna aliyekufa kwa UVIKO ?!!!

Duuuh 😲😲😲

#ShimeTujiandaeTukachanjwe
#NchiKwanza
#TujilindeNaKulindaWengine
#KaziIendelee
 
Namuomba Mheshimiwa SAMIA amchukulie hatua za kinidhamu huyu Gwajima.
"Unasema rais anashadadia"!!!!

Huwezi kutumia lugha ya kejeli namna hii kwa rais.
Ni maajabu kwa vyombo vya dola wasipodili na huyu mpuuzi taperi na gaidi,

Madam president,mtu Kama Gwaji boy ni wakumpoteza mazima,huyu Ni kirusi katika Nchi, huyu wa kufutwa kabisa, anadharau mamlaka
 
Adui mkubwa katika serikali ya huyu mama ni Hawa dizaini ya watu Kama Nchemba,Gwajima na wengineo, sio hao wapinzani wapiga kelele tu hawana madhara, mama akicheka na Hawa Sukuma Gang watamkwamisha kweli, wao akili na malengo yao Ni mwaka 2025 Urais waweke mtu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…