Rais Samia, Bado hujaona hili ni tatizo tu?

inawezekana anawaogopa sukuma gang...laiti angenipa urais kwa masaa sita tu ndipo wangejua kwa nini utingo ni mtu muhimu sana wakati wa safari
Hahaha...Utingo heshima kwako boss
 
Bora hata VP,PM mwenyewe ni kama kaisusa Serikali...mama fukuza Hawa watu kwanza imefika mahala hata makusanyo ya serikali hawashughuliki kuhimiza kama mwanzo,watu wanaiba dawa za serikali hazifiki za kutosha kwenye vituo vya kutolea huduma nk ..Sasa Wana msaada gani hawa
Waziri mkuu nwenyewe yuko kimwili ila kiakili hawako pamoja, mama alibug kurejesha baraza la mwendazake na hao Wana mhujumu hadharani na kumharibia hata huyo gwajima katumwa, ikiwemo msukuma, mama asionee mtu soni akicheka na nyani atavuna mabua
 
Ukimsikiliza Ndugai wa leo sio yule wa miezi miwli nyuma kipindi Mama Samia anashika madaraka, huyu wa sasa amerejea kwenye jeuri na kejeri zilezile za utawala wa Magufuli, Anauhakika na anakokwenda. Ukimsikiliza Mwigulu wa sasa, sio yule wa mwanzo wa utawala wa Mama Samia, Mwigulu wa sasa ana jeuri, kibri na dharau iliyovuka mipaka ya siasa za Dar es Salaamu.

Sasa mwangalie na msikilize mpiga filimbi mdini na mkabila aliyekubuhu wa utawala uliopita bwana Josephat Gwajima, huyu si kwamba anampinga tu Rais Mama Samia, Bali amevuka mipaka na kumtuhumu Rais wa nchi kwamba kahongwa pesa na Marekani ili Marekani iuze chanjo nchini. Genge la utawala uliopita wanaamini Samia ni rais wa Mpito sio rais wa "Awamu". Wanaamini rais wa mpito anakoma 2025 na kwamba mipango yao ya kuwania urais haitaharibiwa na urais wa mpito wa Samia.

Awali kabisa tulionya tukitaka Rais mpya Mama Samia aunde serikali yake badala ya kuendeleza serikali ya mtangulizi wake ambayo ilijengwa mfumo hatari na wa kiharamia kwa miaka zaidi ya mtano. Mfumo huo huwezi kuubomboa kwa kubadili mtu mmoja ambae ni rais tu, bali kuivunja serikali nzima na kuunda serikali mpya.

Kwakuwa siasa ya Dar es Salaam ambako kuibuka kwa nguvu na mtu na kuanguka ni jambo lisiloshangaza, Mfumo uliounda serikali iliyopita bado unanguvu kubwa sana ya kimaamuzi, Pengine lilikuwa kosa kubwa sana la karne kwa Mama Samia kuamua kuendesha nchi kwakutumia mfumo wa serikali iliyopita, Huenda ilikuwa kwa nia njema ama kosa la kimahesabu, kwasasa ni vigumu kujinasua, kinyume chake unajikuta umezungwa na ma spinning doctors hata kama una mamlaka kikatiba lakini wenzio wanakukamata kisiasa, michezo kama blackmails ndio inayouteka utawala mpya. Kundi la wahafidhina limefanikiwa kubaki kwenye mfumo,

Juhudi za Rais wa nchi kupambana na corona kwakufuata masharti ya Shirika la Afya dunia, sasa zinapingwa waziwazi na kundi la utawala uliopita ambalo msimamo wao juu ya janga la corona ulikuwa ni wa kijadi zaidi hali iliyopelekea watu wengi kupoteza maisha katika nchi. Kuhusu Chanjo kwa Tanzania inatakiwa serikali isimame wima itoe elimu ya haraka na ya lazima umuhimu na usalama wa chanjo husika.

Jamii iliharibiwa vibaya sana na Rais Magufuli alipotangaza hadharani kuwa chanjo ya corona haifai, Wazungu hawawapendi Watanzania na tuhuma nyingi lukuki, Leo jamii inamwamini Magufuli kuhusu chanjo, sifiriki kwamba Watz wengi watajitokeza kuchanjwa. Badala ya serikali kutangaza tu kuleteta chanjo, iingie mtaani kutoa elimu na kuhamasisha watu wakachanjwa haraka iwezekanavyo.

Mama Samia, vita vya ndani yako ni vikubwa kuliko hivi vya nje ulivyovianzisha, Wenzio wanakusakizia upigane na wapinzani nje huku wanakumaliza ndani, Ya Joyce Banda yanakugonja. Patana na wapinzani ili ushinde vita vyako vya ndani kirahisi. Vita vya nje hutapigana na Chadema tu, utapigana na dunia nzima hata wanaofadhili bajeti yako watakupiga pia na HAUTASHINDA, wewe ni shahidi wa namna Magufuli alivyopitishwa katika magumu alipoamua kutaka kuua upinzani nchini, hakupigana na Chadema tu, alipigana na dunia nzima akaliumiza taifa na akashindwa yeye. Chadema ipo na itaendelea kuwepo.

Idara ya Usalama wa Taifa, Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya ulinzi, inakuwaje mtu kama GWAJIMA anamtuhumu RAIS @SuluhuSamia kuhongwa PESA na Marekani ili kupigia CHAPUO Chanjo ya COVIDE19? Mko busy kuhujumu vyama vya upinzani na kumbambikia kesi ya Ugaidi @freemanmbowetz na kuacha huyu anayehatarisha usalama wa nchi?

Tatizo kubwa katika nchi hii ni kwamba sayansi inageuzwa kuwa siasa. Hakuna jamii iliyowahi kuendelea kwa kubeza sayansi na maarifa. Hakuna sababu ya kugomea chanjo huku ukiendelea kufa, lakini ieleweke kwamba chanjo zote duniani hata za watoto chini ya miaka 5 zina madhara. Kuna wengine hupata hadi vilema lakini tunaendelea kupeleka watoto clinic kwani tunaamini kwamba madhara kama yako chini ya asilimia 0.01 sio shida sana. Pili hawa vurusi wa Covid kwamjibu wa wataalamu wamagonjwa na tiba wanasema vinabadilika- mutate. Hivyo chanjo zinaendelea kuboreshwa kadri wanavyobadilika.

Tuheshimu sayansi na tusikilize wataalamu wanachosema na tuheshimu taalama za wenzetu, tusisikilize wanasiasa na matapeli wa kiroho aina ya Gwajima.

View attachment 1868346
Ndugu unaongea kama upo usingizini.Napenda nikuulize maswali machache tu .1.Je, wakati wa Magufuli,alikuwa makamu wa Rais wa Uganda au Tanzania? 2.Je,mama Samia alich

Kosa Kubwa Ni vile Mama alicopy wale wale watu ambao waliumiza sana Wananchi wenzao...wengine anawajua kwa karibu zaidi hivi kweli Mh Rais Hujui Ubaya wa Joseph Malongo??? Hujui mabaya aliyotenda pale ofisini kwako??? Hujui uzushi aliozushia watumishi pale huku akitamba wazi yuko karibu na Mh Magufuli?? Na akisema yeye ni seniour.

LAKINI BADO yuko Serikalini...Ungeunda Serikali yako hawa watakuchanganyia madesa..fukuza hawa watu.
Ndugu ,inaonekana uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana.Hata vitabu unavyoandika inaonekana una copy tu.Naomba nikuulize maswali yafuatayo.1.Mama Samia ,wakati wa JPM alikuwa makamu wa Rais wa Tanzania au Uganda?2.Unadai kuwa JPM aliumiza watu.Je mama Samia hakuumiza watu?3.Je ,hiyo sayansi hata ikiwa feki au sumu uwe Zombi, ww unaikubali tu?4.Kwann Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu wa cdm?5.Wewe na cdm hamkuyakubali matokeo ya uchaguzi 2020.Leo unawashauri tena ambao haukuwakubali?Mbona cdm MNA siasa ndumilakuwili?
 
Waziri mkuu nwenyewe yuko kimwili ila kiakili hawako pamoja, mama alibug kurejesha baraza la mwendazake na hao Wana mhujumu hadharani na kumharibia hata huyo gwajima katumwa, ikiwemo msukuma, mama asionee mtu soni akicheka na nyani atavuna mabua
Mwambieni awatimue wote na yy mwenyewe si alikuwemo kwenye serikali ya Magu (may his precious soul rest in eternal peace and power our great African hero 💔 Hon Dr JPM 🙏 amen), ajitimue na yy mwenyewe! Maana naye ni zao la JPM!
 
Kuna Maswali mengi ya kujiuliza kuhusu hiyo chanjo, hayajawahi kupatiwa majibu fasaha. Mbona nchi zilizochanjwa ndo zinaongoza kwa maambukizi na vifo? Mbona nchi zilizochanjwa still wanavaa barakoa na kuchukua tahadhari kama kawaida? Kwanni hizo chanjo zimeonesha kuwa na athari kwa baadhi ya watu waliochoma. Halafu unasema tuheshimu utaalamu wa wenzetu na sayansi wakati so far hazijaonesha matokeo yoyote chanya na ugonjwa bado unaendelea kuitesa dunia.

Hatua zilizochukuliwa na nchi yetu zimeonekana kuwa bora zaidi ikiwemo dawa zetu asilia kuliko hizo za wazungu mnazozitaka. Kwanini tusijivunie vya kwetu tunaendekeza kusifia vya wenzetu. Kwanini mzungu anapinga kujifukiza anataka tutumie chanjo ambazo mpaka sasa hazijaproove kumsaidia yoyote.
Nachoka kuona hoja za kitoto kama hizi. Serikali imesema kwa hiari sasa mnapata shida ipi msiende kuchanja wengine tutachanja period.
 
Gwajima katwambia kuwa kundi moja lililopendekezwa kuchanjwa kwa lazima ni Majeshi, japo naamini kasema hayo kwa nia njema, Jamaa kawapa hint vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa Chanjo haifai, Sasa kama huku siyo kutengeneza mazingira majeshi kuigomea serikali ni nini?
 
Usemacho ni kweli mtu kawekwa Kati,ukiacha hao wengine nilimsikia Karibu mkuu wizara ya Afya akiongelea hatua za kuchukua ila kwenye chanjo aliongea as if sio kitu cha muhimu .

Nadhani Rais hajachelewa Sana Felix Chisekedi alivunja Ushawishi wa Kabila baada ya miaka 2 ,Mama arudi haraka kwa JK amsaidie kusuka system yake kuanzia kwenye usalama,ndani ya chama,Serikalini afu kwa Wananchi kutaji set kwenyewe.
 
Ukimsikiliza Ndugai wa leo sio yule wa miezi miwli nyuma kipindi Mama Samia anashika madaraka, huyu wa sasa amerejea kwenye jeuri na kejeri zilezile za utawala wa Magufuli, Anauhakika na anakokwenda. Ukimsikiliza Mwigulu wa sasa, sio yule wa mwanzo wa utawala wa Mama Samia, Mwigulu wa sasa ana jeuri, kibri na dharau iliyovuka mipaka ya siasa za Dar es Salaamu.

Sasa mwangalie na msikilize mpiga filimbi mdini na mkabila aliyekubuhu wa utawala uliopita bwana Josephat Gwajima, huyu si kwamba anampinga tu Rais Mama Samia, Bali amevuka mipaka na kumtuhumu Rais wa nchi kwamba kahongwa pesa na Marekani ili Marekani iuze chanjo nchini. Genge la utawala uliopita wanaamini Samia ni rais wa Mpito sio rais wa "Awamu". Wanaamini rais wa mpito anakoma 2025 na kwamba mipango yao ya kuwania urais haitaharibiwa na urais wa mpito wa Samia.

Awali kabisa tulionya tukitaka Rais mpya Mama Samia aunde serikali yake badala ya kuendeleza serikali ya mtangulizi wake ambayo ilijengwa mfumo hatari na wa kiharamia kwa miaka zaidi ya mtano. Mfumo huo huwezi kuubomboa kwa kubadili mtu mmoja ambae ni rais tu, bali kuivunja serikali nzima na kuunda serikali mpya.

Kwakuwa siasa ya Dar es Salaam ambako kuibuka kwa nguvu na mtu na kuanguka ni jambo lisiloshangaza, Mfumo uliounda serikali iliyopita bado unanguvu kubwa sana ya kimaamuzi, Pengine lilikuwa kosa kubwa sana la karne kwa Mama Samia kuamua kuendesha nchi kwakutumia mfumo wa serikali iliyopita, Huenda ilikuwa kwa nia njema ama kosa la kimahesabu, kwasasa ni vigumu kujinasua, kinyume chake unajikuta umezungwa na ma spinning doctors hata kama una mamlaka kikatiba lakini wenzio wanakukamata kisiasa, michezo kama blackmails ndio inayouteka utawala mpya. Kundi la wahafidhina limefanikiwa kubaki kwenye mfumo,

Juhudi za Rais wa nchi kupambana na corona kwakufuata masharti ya Shirika la Afya dunia, sasa zinapingwa waziwazi na kundi la utawala uliopita ambalo msimamo wao juu ya janga la corona ulikuwa ni wa kijadi zaidi hali iliyopelekea watu wengi kupoteza maisha katika nchi. Kuhusu Chanjo kwa Tanzania inatakiwa serikali isimame wima itoe elimu ya haraka na ya lazima umuhimu na usalama wa chanjo husika.

Jamii iliharibiwa vibaya sana na Rais Magufuli alipotangaza hadharani kuwa chanjo ya corona haifai, Wazungu hawawapendi Watanzania na tuhuma nyingi lukuki, Leo jamii inamwamini Magufuli kuhusu chanjo, sifiriki kwamba Watz wengi watajitokeza kuchanjwa. Badala ya serikali kutangaza tu kuleteta chanjo, iingie mtaani kutoa elimu na kuhamasisha watu wakachanjwa haraka iwezekanavyo.

Mama Samia, vita vya ndani yako ni vikubwa kuliko hivi vya nje ulivyovianzisha, Wenzio wanakusakizia upigane na wapinzani nje huku wanakumaliza ndani, Ya Joyce Banda yanakugonja. Patana na wapinzani ili ushinde vita vyako vya ndani kirahisi. Vita vya nje hutapigana na Chadema tu, utapigana na dunia nzima hata wanaofadhili bajeti yako watakupiga pia na HAUTASHINDA, wewe ni shahidi wa namna Magufuli alivyopitishwa katika magumu alipoamua kutaka kuua upinzani nchini, hakupigana na Chadema tu, alipigana na dunia nzima akaliumiza taifa na akashindwa yeye. Chadema ipo na itaendelea kuwepo.

Idara ya Usalama wa Taifa, Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya ulinzi, inakuwaje mtu kama GWAJIMA anamtuhumu RAIS @SuluhuSamia kuhongwa PESA na Marekani ili kupigia CHAPUO Chanjo ya COVIDE19? Mko busy kuhujumu vyama vya upinzani na kumbambikia kesi ya Ugaidi @freemanmbowetz na kuacha huyu anayehatarisha usalama wa nchi?

Tatizo kubwa katika nchi hii ni kwamba sayansi inageuzwa kuwa siasa. Hakuna jamii iliyowahi kuendelea kwa kubeza sayansi na maarifa. Hakuna sababu ya kugomea chanjo huku ukiendelea kufa, lakini ieleweke kwamba chanjo zote duniani hata za watoto chini ya miaka 5 zina madhara. Kuna wengine hupata hadi vilema lakini tunaendelea kupeleka watoto clinic kwani tunaamini kwamba madhara kama yako chini ya asilimia 0.01 sio shida sana. Pili hawa vurusi wa Covid kwamjibu wa wataalamu wamagonjwa na tiba wanasema vinabadilika- mutate. Hivyo chanjo zinaendelea kuboreshwa kadri wanavyobadilika.

Tuheshimu sayansi na tusikilize wataalamu wanachosema na tuheshimu taalama za wenzetu, tusisikilize wanasiasa na matapeli wa kiroho aina ya Gwajima.

View attachment 1868346
Kwani mama Samia ametokea serikali gani. Basi na yeye ajiuzulu tu kwasababu bado naye ni kutoka serikali ya awamu ya tano. Acheni kudhani kuwa mama Samia katoka sayari Mars. Mama Samia ni mwendelezo wa serikali ya JPM na yawezekana akawa na misimamo hiyo ya JPM. Nyinyi mnafikiri yuko tofuati
 
Hii post nilichojifunza ina chadema wengi sana. Na mama akicheza ngoma ya chadema atapoteana sana
 
Fitina

Kwa akili yako Yericko unaamini Samia hana uwezo wa kujua kua ulichoandika hapa ni Fitina?

Ni kwa kiasi gani umemdharau raisi wa nchi!
 
Ukimsikiliza Ndugai wa leo sio yule wa miezi miwli nyuma kipindi Mama Samia anashika madaraka, huyu wa sasa amerejea kwenye jeuri na kejeri zilezile za utawala wa Magufuli, Anauhakika na anakokwenda. Ukimsikiliza Mwigulu wa sasa, sio yule wa mwanzo wa utawala wa Mama Samia, Mwigulu wa sasa ana jeuri, kibri na dharau iliyovuka mipaka ya siasa za Dar es Salaamu.

Sasa mwangalie na msikilize mpiga filimbi mdini na mkabila aliyekubuhu wa utawala uliopita bwana Josephat Gwajima, huyu si kwamba anampinga tu Rais Mama Samia, Bali amevuka mipaka na kumtuhumu Rais wa nchi kwamba kahongwa pesa na Marekani ili Marekani iuze chanjo nchini. Genge la utawala uliopita wanaamini Samia ni rais wa Mpito sio rais wa "Awamu". Wanaamini rais wa mpito anakoma 2025 na kwamba mipango yao ya kuwania urais haitaharibiwa na urais wa mpito wa Samia.

Awali kabisa tulionya tukitaka Rais mpya Mama Samia aunde serikali yake badala ya kuendeleza serikali ya mtangulizi wake ambayo ilijengwa mfumo hatari na wa kiharamia kwa miaka zaidi ya mtano. Mfumo huo huwezi kuubomboa kwa kubadili mtu mmoja ambae ni rais tu, bali kuivunja serikali nzima na kuunda serikali mpya.

Kwakuwa siasa ya Dar es Salaam ambako kuibuka kwa nguvu na mtu na kuanguka ni jambo lisiloshangaza, Mfumo uliounda serikali iliyopita bado unanguvu kubwa sana ya kimaamuzi, Pengine lilikuwa kosa kubwa sana la karne kwa Mama Samia kuamua kuendesha nchi kwakutumia mfumo wa serikali iliyopita, Huenda ilikuwa kwa nia njema ama kosa la kimahesabu, kwasasa ni vigumu kujinasua, kinyume chake unajikuta umezungwa na ma spinning doctors hata kama una mamlaka kikatiba lakini wenzio wanakukamata kisiasa, michezo kama blackmails ndio inayouteka utawala mpya. Kundi la wahafidhina limefanikiwa kubaki kwenye mfumo,

Juhudi za Rais wa nchi kupambana na corona kwakufuata masharti ya Shirika la Afya dunia, sasa zinapingwa waziwazi na kundi la utawala uliopita ambalo msimamo wao juu ya janga la corona ulikuwa ni wa kijadi zaidi hali iliyopelekea watu wengi kupoteza maisha katika nchi. Kuhusu Chanjo kwa Tanzania inatakiwa serikali isimame wima itoe elimu ya haraka na ya lazima umuhimu na usalama wa chanjo husika.

Jamii iliharibiwa vibaya sana na Rais Magufuli alipotangaza hadharani kuwa chanjo ya corona haifai, Wazungu hawawapendi Watanzania na tuhuma nyingi lukuki, Leo jamii inamwamini Magufuli kuhusu chanjo, sifiriki kwamba Watz wengi watajitokeza kuchanjwa. Badala ya serikali kutangaza tu kuleteta chanjo, iingie mtaani kutoa elimu na kuhamasisha watu wakachanjwa haraka iwezekanavyo.

Mama Samia, vita vya ndani yako ni vikubwa kuliko hivi vya nje ulivyovianzisha, Wenzio wanakusakizia upigane na wapinzani nje huku wanakumaliza ndani, Ya Joyce Banda yanakugonja. Patana na wapinzani ili ushinde vita vyako vya ndani kirahisi. Vita vya nje hutapigana na Chadema tu, utapigana na dunia nzima hata wanaofadhili bajeti yako watakupiga pia na HAUTASHINDA, wewe ni shahidi wa namna Magufuli alivyopitishwa katika magumu alipoamua kutaka kuua upinzani nchini, hakupigana na Chadema tu, alipigana na dunia nzima akaliumiza taifa na akashindwa yeye. Chadema ipo na itaendelea kuwepo.

Idara ya Usalama wa Taifa, Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya ulinzi, inakuwaje mtu kama GWAJIMA anamtuhumu RAIS @SuluhuSamia kuhongwa PESA na Marekani ili kupigia CHAPUO Chanjo ya COVIDE19? Mko busy kuhujumu vyama vya upinzani na kumbambikia kesi ya Ugaidi @freemanmbowetz na kuacha huyu anayehatarisha usalama wa nchi?

Tatizo kubwa katika nchi hii ni kwamba sayansi inageuzwa kuwa siasa. Hakuna jamii iliyowahi kuendelea kwa kubeza sayansi na maarifa. Hakuna sababu ya kugomea chanjo huku ukiendelea kufa, lakini ieleweke kwamba chanjo zote duniani hata za watoto chini ya miaka 5 zina madhara. Kuna wengine hupata hadi vilema lakini tunaendelea kupeleka watoto clinic kwani tunaamini kwamba madhara kama yako chini ya asilimia 0.01 sio shida sana. Pili hawa vurusi wa Covid kwamjibu wa wataalamu wamagonjwa na tiba wanasema vinabadilika- mutate. Hivyo chanjo zinaendelea kuboreshwa kadri wanavyobadilika.

Tuheshimu sayansi na tusikilize wataalamu wanachosema na tuheshimu taalama za wenzetu, tusisikilize wanasiasa na matapeli wa kiroho aina ya Gwajima.

?
View attachment 1868346
Yericko mbona kuna wakati unakuwa kama sio mtu makini? Kwani sio kweli kwamba mama ni Raisi wa muda kutokana na dharura ya msiba? Ni nani alimpigia kura? Na je wewe umepanga aendelee mpaka lini zaidi ya 2025? Na je wewe unaona mtu ambaye akiwekwa na wagombea wengine kuwania nafasi hiyo bila mizengwe atawashinda kweli? Je, unadhani kwa rajua tuliyo nayo Nchi huyu mama anao uwezo pasipo shaka yoyote kuwa atatuvusha?
 
Nadhani Rais hajachelewa Sana Felix Chisekedi alivunja Ushawishi wa Kabila baada ya miaka 2 ,Mama arudi haraka kwa JK amsaidie kusuka system yake kuanzia kwenye usalama,ndani ya chama,Serikalini afu kwa Wananchi kutaji set kwenyewe.
Huyo Chisekedi ni bure kabisa hafai kuwa wa mfano.
Ameendeleza hila za Kabila kwa wapinzani wa kweli wa Kabila.
Ametunga mswada wa sheria ya kuzuia raia wa nchi yake ambaye mzazi wake mmoja siyo raia wa Kongo lengo likiwa kumzuia Moise Katumbi asigombee uraisi uchaguzi ujao.

Watanzania tutafute taarifa na maarifa kabla ya kushabikia watu na mambo yao.
 
Back
Top Bottom