Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

Ngoja waje watakuambia mama Samia ni sukuma gang
 
Hahahah kwahio anaweweseka? 😀
Bado bado acha waibe hela zote za bajeti
Mguu wa Chemba anasema anaetoa Pesa zinazopigwa ni Katibu Mkuu ndio mwenye mamlaka so who is Katibu Mkuu? mbon km anafichwa fichwa hata kwenye ripoti ya CAG Katibu Mkuu hajatajwa kwamba yeye ndio alietoa yale mabillion yaliwe na wezi,
 
Jambo la msingi sana kutekeleza mambo ya msingi ✔️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…