Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Na sauti yenyewe ile ilivokuwa...
Mama SSH aongezewe ulinzi hasa usiku!!
Mama SSH aongezewe ulinzi hasa usiku!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MtanikumbukaMaendeleo hayana chama
Ngoja waje watakuambia mama Samia ni sukuma gangRais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na kuipendezesha jiji la Dodoma.
Rais Samia amesema ameachiwa urithi mzito wa kukamilisha miradi yote na atafanya kama alivyowaahidi watanzania kuwa hakuna hata mradi mmoja utakaoshindwa kukamilika na wananchi wasiwe na wasiwasi.
Sawa John The Pabtist mkuu,Mungu ampe wepesi
Tuliwapigia kura wote wawili kwa sababu Tunawaamini.
Mtanikumbuka!
Mguu wa Chemba anasema anaetoa Pesa zinazopigwa ni Katibu Mkuu ndio mwenye mamlaka so who is Katibu Mkuu? mbon km anafichwa fichwa hata kwenye ripoti ya CAG Katibu Mkuu hajatajwa kwamba yeye ndio alietoa yale mabillion yaliwe na wezi,Hahahah kwahio anaweweseka? 😀
Bado bado acha waibe hela zote za bajeti
Anakuja Daudi Mchambuzicc: @Daudi Mchambuzi
Rais Samia amesema ameachiwa urithi mzito wa kukamilisha miradi yote na atafanya kama alivyowaahidi watanzania kuwa hakuna hata mradi mmoja utakaoshindwa kukamilika na wananchi wasiwe na wasiwasi.
[emoji38][emoji38]Ngoja waje watakuambia mama Samia ni sukuma gang
Acha hizo...Hatoacha kusikia hiyo sauti mpaka siku na yeye atayoaga ulimwengu
Jambo la msingi sana kutekeleza mambo ya msingi ✔️Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na kuipendezesha jiji la Dodoma.
Rais Samia amesema ameachiwa urithi mzito wa kukamilisha miradi yote na atafanya kama alivyowaahidi watanzania kuwa hakuna hata mradi mmoja utakaoshindwa kukamilika na wananchi wasiwe na wasiwasi.
Chadema watakupingaJambo la msingi sana kutekeleza mambo ya msingi [emoji3581]
Wanataka waambiwe anasikia ya Mbowe.Ufipa msinune!