Acha tu ndugu yangu.Kabisa mkuu yaani huyu mwamba angeongezea hata miaka mitatu mbele nchi hii tungekuwa nusu ya South japo yeye alienda mbali zaidi eti kama Europe [emoji4]
wewe ni YangaTunaweza kubadilisha mwngi kuifanya Dodoma inawiri lakini itaendelea kuwa mbaya kwa sababu ubaya wa Dodoma ni wa asili. Hali ya hewa ni mbaya, hatuwezi kubadilisha. Ardhi yake ni mbaya, tunaweza kurekebisha kiasi lakini hatuwezi kubadilisha.
Lakini pia hata yale ambayo hufanywa na mwanadamu, Dodoma yamefanyika hovyo sana. Dodoma ina barabara finyu katikati ya mji. Yaani Tabora iliyopangwa na wajerumani mwishoni mwa miaka ya 1800, ina barabara pana na ina mpangilio mzuri maradufu ya Dodoma iliyopangwa na CDA miaka ya 1980, yaani Wajerumani wa miaka ya 1800 walikuwa na akili na weledi kuliko wataalam wa CDA wa miaka ya 1980.
Kama mama mwenyewe anamtaja hayati Magufuli nani tena wa kubisha?! Ndiyo Kuna mipango iko toka enzi za mwalimu na alama zimebaki kwa mwalimu na hazitafutika. Mfano, kuifanya dodoma kuwa makao makuu Nyerere, serikali kuhamia dodoma na kuasisi miradi kabambe ya miundombinu kuendana na hadhi ya makao makuu ni Magufuli. Kuendeleza miradi aliyoinzisha Magufuli tena kwa kusikia sauti ya Magufuli ikitaka hivyo Samia. Bila kusahau Samia naye kuna miradi ataanzisha na alama itabaki kwake.Mipango sio matumizi, marehemu hawezi kufufuka mnapoteza mda,signature na alama itabakia kuwa ya Samia..
Habari za sijui alianzisha sijui nini,mipango na vya kuanzisha viko toka enzi za Mwalimu.
KabisaNa kazi ziendelee...
Nani kabisha? Mwendazake ndio ame accelerate issue ya DomKama mama mwenyewe anamtaja hayati Magufuli nani tena wa kubisha?! Ndiyo Kuna mipango iko toka enzi za mwalimu na alama zimebaki kwa mwalimu na hazitafutika. Mfano, kuifanya dodoma kuwa makao makuu Nyerere, serikali kuhamia dodoma na kuasisi miradi kabambe ya miundombinu kuendana na hadhi ya makao makuu ni Magufuli. Kuendeleza miradi aliyoinzisha Magufuli tena kwa kusikia sauti ya Magufuli ikitaka hivyo Samia. Bila kusahau Samia naye kuna miradi ataanzisha na alama itabaki kwake.
kwani sio Makao makuu?Magufuli ni Musa wa Zama hizi!
Magufuli ni Mtume na Nabii.
Kama siyo yeye CCM ingekufa 2015!
Akina Msevena, Pk na Akina Fakili wa Sudani kusini.Hayati Magufuli mwana mageuzi harisi wa kizazi hiki.
Viongozi wote wa Africa walikuwa wanajifunza kwake.
Mama anaogopa nini?mbona kawa active Sana kuelekea March 17?Akina Msevena, Pk na Akina Fakili wa Sudani kusini.
Pale Dodoma alifanya kazi kwelikweli na alama ni zake, piga chini CDA, hamishia serikali Dom, Pandisha dom kuwa jiji afu akaanzisha miradi kabambe ya kuboresha miundombinu ambayo mama anasema lazima ikamilike.Nani kabisha? Mwendazake ndio ame accelerate issue ya Dom
Asante. Hakuwa malaika ila huyu mzee alikuwa jiwe. Sasa waambie wengine tena na tena waache ubishiRais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na kuipendezesha jiji la Dodoma.
Rais Samia amesema ameachiwa urithi mzito wa kukamilisha miradi yote na atafanya kama alivyowaahidi watanzania kuwa hakuna hata mradi mmoja utakaoshindwa kukamilika na wananchi wasiwe na wasiwasi.
View attachment 2113829
Theory kama za motivational speakersMkuu Dodoma haina ulazima wa kujenga Capital City kwa sasa.Dodoma inahitaji Maji safi,barabara, ustawishaji wa miti mirefu,kilimo cha umwagiliaji,elimu yenye tija na uongozi bora.
Pia kuwawezesha wananchi kujitegemea katika maeneo hayo,kwa kuwafunza na kuwapa mikopo nafuu waendeshe maisha yao.
Kinachofanyika ni utumiaji mbaya wa vijisenti vya mikopo.Wezesha wananchi huko kwenye msingi wa maendeleo nao watawezesha ujenzi mkubwa.
Mbona hukusema hzi pumba zako kabla ya 2015 au bado ulikuwa kinder? Unafiki umekujaa sana wewe mdanganyika! Miaka 40+ imepita na Dodoma haikuendelezwa kama makao makuu hiyo hela ambayo haikuendeleza Dodoma kuwa makao makuu kwa wakti huo mbona haikusidia kutimiza hzo ndoto zako?Mkuu Dodoma haina ulazima wa kujenga Capital City kwa sasa.Dodoma inahitaji Maji safi,barabara, ustawishaji wa miti mirefu,kilimo cha umwagiliaji,elimu yenye tija na uongozi bora.
Pia kuwawezesha wananchi kujitegemea katika maeneo hayo,kwa kuwafunza na kuwapa mikopo nafuu waendeshe maisha yao.
Kinachofanyika ni utumiaji mbaya wa vijisenti vya mikopo.Wezesha wananchi huko kwenye msingi wa maendeleo nao watawezesha ujenzi mkubwa.
Hua nina wasiwasi na ID ya yule bibi kizee (Faiza/Faidha Fox) wa humu kwamba huenda ni ya Samia Suluhu Hasani! Ni mtazamo wangu tu πππππPambana mama, najua unasoma comments huku au pengine una id yako humu!
Weka ushahidi wako kwamba SGR ilikuwa inakwenda Kigoma tu na siyo Mwanza katika hii awamu ya kwanza? Vinginevyo unademka tu na vitu usivyovijua.Mwendazake aliendeleza mradi wa gesi na bandari ya bagamoyo? SGR ilikuwa iende Kigoma...
Toka mwanzo mama alishasema miradi yote aliyoianzisha magu ataikamilisha.. That's all. Anafanya alichohaidi basi. Na haimaanishi magu hakuzingua.Mwanzoni waliingia na Gear ya kumdhalilisha Jiwe , sasa baada ya kukaa mda mrefu amegudua magufuri alikuwa yuko sahihi kwa vitu vingi au watendaji walimdanganya vitu vingi kama yeye wanavyomdanganya mda mwingine, so ameamua kurudi kwa jiwe.Asante amama kwa kuona ubora wa jiwe
Magufuli ni Musa wa Zama hizi!
Magufuli ni Mtume na Nabii.
Kama siyo yeye CCM ingekufa 2015!
Nakupenda mama D ,una busara sanaRest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan
Aishukuru tume fake ya uchaguziMagufuli ni Musa wa Zama hizi!
Magufuli ni Mtume na Nabii.
Kama siyo yeye CCM ingekufa 2015!