Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

Tunaweza kubadilisha mwngi kuifanya Dodoma inawiri lakini itaendelea kuwa mbaya kwa sababu ubaya wa Dodoma ni wa asili. Hali ya hewa ni mbaya, hatuwezi kubadilisha. Ardhi yake ni mbaya, tunaweza kurekebisha kiasi lakini hatuwezi kubadilisha.

Lakini pia hata yale ambayo hufanywa na mwanadamu, Dodoma yamefanyika hovyo sana. Dodoma ina barabara finyu katikati ya mji. Yaani Tabora iliyopangwa na wajerumani mwishoni mwa miaka ya 1800, ina barabara pana na ina mpangilio mzuri maradufu ya Dodoma iliyopangwa na CDA miaka ya 1980, yaani Wajerumani wa miaka ya 1800 walikuwa na akili na weledi kuliko wataalam wa CDA wa miaka ya 1980.
wewe ni Yanga
 
Mipango sio matumizi, marehemu hawezi kufufuka mnapoteza mda,signature na alama itabakia kuwa ya Samia..

Habari za sijui alianzisha sijui nini,mipango na vya kuanzisha viko toka enzi za Mwalimu.
Kama mama mwenyewe anamtaja hayati Magufuli nani tena wa kubisha?! Ndiyo Kuna mipango iko toka enzi za mwalimu na alama zimebaki kwa mwalimu na hazitafutika. Mfano, kuifanya dodoma kuwa makao makuu Nyerere, serikali kuhamia dodoma na kuasisi miradi kabambe ya miundombinu kuendana na hadhi ya makao makuu ni Magufuli. Kuendeleza miradi aliyoinzisha Magufuli tena kwa kusikia sauti ya Magufuli ikitaka hivyo Samia. Bila kusahau Samia naye kuna miradi ataanzisha na alama itabaki kwake.
 
Nani kabisha? Mwendazake ndio ame accelerate issue ya Dom
 
Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na kuipendezesha jiji la Dodoma.

Rais Samia amesema ameachiwa urithi mzito wa kukamilisha miradi yote na atafanya kama alivyowaahidi watanzania kuwa hakuna hata mradi mmoja utakaoshindwa kukamilika na wananchi wasiwe na wasiwasi.

View attachment 2113829

Asante. Hakuwa malaika ila huyu mzee alikuwa jiwe. Sasa waambie wengine tena na tena waache ubishi
 
Mkuu Dodoma haina ulazima wa kujenga Capital City kwa sasa.Dodoma inahitaji Maji safi,barabara, ustawishaji wa miti mirefu,kilimo cha umwagiliaji,elimu yenye tija na uongozi bora.

Pia kuwawezesha wananchi kujitegemea katika maeneo hayo,kwa kuwafunza na kuwapa mikopo nafuu waendeshe maisha yao.

Kinachofanyika ni utumiaji mbaya wa vijisenti vya mikopo.Wezesha wananchi huko kwenye msingi wa maendeleo nao watawezesha ujenzi mkubwa.
Theory kama za motivational speakers
 
Mbona hukusema hzi pumba zako kabla ya 2015 au bado ulikuwa kinder? Unafiki umekujaa sana wewe mdanganyika! Miaka 40+ imepita na Dodoma haikuendelezwa kama makao makuu hiyo hela ambayo haikuendeleza Dodoma kuwa makao makuu kwa wakti huo mbona haikusidia kutimiza hzo ndoto zako?
 
Mwanzoni waliingia na Gear ya kumdhalilisha Jiwe , sasa baada ya kukaa mda mrefu amegudua magufuri alikuwa yuko sahihi kwa vitu vingi au watendaji walimdanganya vitu vingi kama yeye wanavyomdanganya mda mwingine, so ameamua kurudi kwa jiwe.Asante amama kwa kuona ubora wa jiwe
Toka mwanzo mama alishasema miradi yote aliyoianzisha magu ataikamilisha.. That's all. Anafanya alichohaidi basi. Na haimaanishi magu hakuzingua.
 
Back
Top Bottom