Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

kwako kila kitu kilichopo dodoma kibaya2?
kama ni mbaya kwako
sisi kwetu ni nzuri na tunaipenda,
fikra zako
hazitunyimi usingizi wa kula zabibu tamu zinazopatikana dodoma.
Kweliii !!
 
Safi sana, Kazi iendelee !
 
Asituletee mambo ya mizimu hapa
 
Kwani
Kwani Dodoma ina ubaya unaozidi ubaya wa Dar ?? Vipi Dar kwa harufu ya uvundo !!?
 
Pale Dodoma alifanya kazi kwelikweli na alama ni zake, piga chini CDA, hamishia serikali Dom, Pandisha dom kuwa jiji afu akaanzisha miradi kabambe ya kuboresha miundombinu ambayo mama anasema lazima ikamilike.
Dodoma inastahili kujengwa zaidi na zaidi maana pamoja na sababu nyingine Dodoma ndio katikati ya nchi yetu !!!
 
Hakuna aliye bora au si bora
Kuna ubora na upungufu pande zote
Kuna wanayofanana mengi tu mf. Matumizi mabaya ya kodi za wananchi kuabudiwa kutukuzwa kusifiwa vya uongo na zaidi hawatambui adui na rafiki ni nani.... maneno mengiiii
 
Hakika mkuu. DODOMA HOYEEEEE
 

Hiyo Sauti sijui itakuwa yatoka Wapi maana Kwa kweli waitii, Ila kuna Sauti ingine ya upole ya Haki kutoka Kwa Mungu ambaye Ni Haki inayotaka usitishe Mateso Kwa Mbowe na umeikataa!
 
Porojo tu hizo. Magufuli ndio alimwambia atukimbize wamachinga mpaka tunajuta kuzaliwa?
Leo zima Moto wamekuja kutoa elimu ya kuwa muangalifu sokon ili majanga yamoto yasitokee.
Moto wa mateja unaunguza soko zima, mpaka nyanya
 
Hiyo Sauti sijui itakuwa yatoka Wapi maana Kwa kweli waitii, Ila kuna Sauti ingine ya upole ya Haki kutoka Kwa Mungu ambaye Ni Haki inayotaka usitishe Mateso Kwa Mbowe na umeikataa!
Unamtetea gaidi unamwacha Sabaya?
#free Sabaya
 
Sauti ya walioko magelezani nchi nzima kwa kesi za michongo - hizi huzisikii madam ?
 
Asulubishwe. Afinguliwe baraba. Mpaka leo hawa watu wapo. Inauma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…