The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Na wewe wanyonyeCheti huwa kinakutesa acha wizi ulikuwaunawanyoya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe wanyonyeCheti huwa kinakutesa acha wizi ulikuwaunawanyoya watu
Kweliii !!kwako kila kitu kilichopo dodoma kibaya2?
kama ni mbaya kwako
sisi kwetu ni nzuri na tunaipenda,
fikra zako
hazitunyimi usingizi wa kula zabibu tamu zinazopatikana dodoma.
Safi sana, Kazi iendelee !sina picha mkuu lakini nitajitahidi kukuelekeza kwa ufahamu wangu ulivyo juu ya hii barabara, hii barabara itachepuka pale mtumba(mji wa kiselikali).
inaelekea kaskazini na kusini
kisha inaelekea magharibi had nara
inaungana na barabara kuu inayoelekea singida,
kwa ufupi ring road inaizunguka Dodoma, Dodoma mjini inakuwa katikati imezungukwa na ring road, mtu anaetoka morogoro
kama anaenda mikoa ya singida, Tabora au Mwanza.
atakuwa hana ulazima wa kupita katikati ya mji ili kuepusha msongamano wa magari hasa magari makubwa, akifika mji wa kiselikali kabla hajaingia dodoma mjini, atachepuka kwenye ring road, atatokezea nara.
kisha ataendelea na safari yake pasipo kupitia dom town,
"Mtanikumbuka kwa yale mazuri "!!Mwizi wa Kura yule!
Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na kuipendezesha jiji la Dodoma.
Rais Samia amesema ameachiwa urithi mzito wa kukamilisha miradi yote na atafanya kama alivyowaahidi watanzania kuwa hakuna hata mradi mmoja utakaoshindwa kukamilika na wananchi wasiwe na wasiwasi.
View attachment 2113829
Kwani Dodoma ina ubaya unaozidi ubaya wa Dar ?? Vipi Dar kwa harufu ya uvundo !!?Kuna baadhi ya watanzania, wanaroho za ajabu na ubaguzi, Dodoma ni sehemu ya Tanzania, hivi kinachomuuma mtu kuisema sehemu ya Tanzania vibaya ni nini? Unaposema Dodoma ni mbaya ulitaka iweje? Unakosoa uumbaji wa Mungu ktk dunia? Unadhani maeneo yote yakifanana tutaenda kufanya utalii wapi? Tunahitaji utofauti ili kuwe na hali ya kushangaa maeneo mengine na kuyatembelea.
Wanadamu tumepewa mahalifa na Mwenyezi Mungu, hivyo Dodoma bado itapendezeshwa tu. Kama Dubai ilivyokuwa na uasili wake wa jangwa lakini sasa inamaeneo yenye uoto wa mimea. Swala la barabara finyu katikati ya mji ndo staili na design ya mji huo. Unataka katikati ya mji kuwe na barabara pana, kwani unapitisha nini zaidi? Ndo maana barabara pana na kubwa zinapita kando ya mji.
Tutajie ambapo wewe unaona palifaa kuwa makao makuu. Make ukileta ukosoaji, tunauwezo wakukosoa hata wewe kule unakodhani panafaa. Hakuna sehemu iliyokamili. Tuache ushamba. Miji yote inauzuri na utofauti wake unaoifanya iwe ya kipekee.
Ati unaanza tu kukashifu mkoa kuwa ni mbaya, hivi wewe ndo mtaalamu wa kujua upi mji mzuri na upi mbaya. Ebu tutajie mji wewe unao ona ni mzuri, nasi tukuoneshe uwazacho sicho.
Penda nchi yako, penda Taifa lako, jivunie kilichopo kwenye nchi yako, Dodoma ni sehemu ya Tanzania. Na ni makao makuu. Makao makuu hayachaguliwi kwa kufuata ukubwa wa mji au sijui huo uzuri unao sema! Ha ha ha!
[emoji1787][emoji1787]Kwani
Kwani Dodoma ina ubaya unaozidi ubaya wa Dar ?? Vipi Dar kwa harufu ya uvundo !!?
Dodoma inastahili kujengwa zaidi na zaidi maana pamoja na sababu nyingine Dodoma ndio katikati ya nchi yetu !!!Pale Dodoma alifanya kazi kwelikweli na alama ni zake, piga chini CDA, hamishia serikali Dom, Pandisha dom kuwa jiji afu akaanzisha miradi kabambe ya kuboresha miundombinu ambayo mama anasema lazima ikamilike.
Hakuna aliye bora au si boraMwanzoni waliingia na Gear ya kumdhalilisha Jiwe , sasa baada ya kukaa mda mrefu amegudua magufuri alikuwa yuko sahihi kwa vitu vingi au watendaji walimdanganya vitu vingi kama yeye wanavyomdanganya mda mwingine, so ameamua kurudi kwa jiwe.Asante amama kwa kuona ubora wa jiwe
Hakika mkuu. DODOMA HOYEEEEEKuna baadhi ya watanzania, wanaroho za ajabu na ubaguzi, Dodoma ni sehemu ya Tanzania, hivi kinachomuuma mtu kuisema sehemu ya Tanzania vibaya ni nini? Unaposema Dodoma ni mbaya ulitaka iweje? Unakosoa uumbaji wa Mungu ktk dunia? Unadhani maeneo yote yakifanana tutaenda kufanya utalii wapi? Tunahitaji utofauti ili kuwe na hali ya kushangaa maeneo mengine na kuyatembelea.
Wanadamu tumepewa mahalifa na Mwenyezi Mungu, hivyo Dodoma bado itapendezeshwa tu. Kama Dubai ilivyokuwa na uasili wake wa jangwa lakini sasa inamaeneo yenye uoto wa mimea. Swala la barabara finyu katikati ya mji ndo staili na design ya mji huo. Unataka katikati ya mji kuwe na barabara pana, kwani unapitisha nini zaidi? Ndo maana barabara pana na kubwa zinapita kando ya mji.
Tutajie ambapo wewe unaona palifaa kuwa makao makuu. Make ukileta ukosoaji, tunauwezo wakukosoa hata wewe kule unakodhani panafaa. Hakuna sehemu iliyokamili. Tuache ushamba. Miji yote inauzuri na utofauti wake unaoifanya iwe ya kipekee.
Ati unaanza tu kukashifu mkoa kuwa ni mbaya, hivi wewe ndo mtaalamu wa kujua upi mji mzuri na upi mbaya. Ebu tutajie mji wewe unao ona ni mzuri, nasi tukuoneshe uwazacho sicho.
Penda nchi yako, penda Taifa lako, jivunie kilichopo kwenye nchi yako, Dodoma ni sehemu ya Tanzania. Na ni makao makuu. Makao makuu hayachaguliwi kwa kufuata ukubwa wa mji au sijui huo uzuri unao sema! Ha ha ha!
Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na kuipendezesha jiji la Dodoma.
Rais Samia amesema ameachiwa urithi mzito wa kukamilisha miradi yote na atafanya kama alivyowaahidi watanzania kuwa hakuna hata mradi mmoja utakaoshindwa kukamilika na wananchi wasiwe na wasiwasi.
View attachment 2113829
Mshahara wa Dhambi ni Mauti."Mtanikumbuka kwa yale mazuri "!!
Leo zima Moto wamekuja kutoa elimu ya kuwa muangalifu sokon ili majanga yamoto yasitokee.Porojo tu hizo. Magufuli ndio alimwambia atukimbize wamachinga mpaka tunajuta kuzaliwa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo zima Moto wamekuja kutoa elimu ya kuwa muangalifu sokon ili majanga yamoto yasitokee.
Moto wa mateja unaunguza soko zima, mpaka nyanya
Unamtetea gaidi unamwacha Sabaya?Hiyo Sauti sijui itakuwa yatoka Wapi maana Kwa kweli waitii, Ila kuna Sauti ingine ya upole ya Haki kutoka Kwa Mungu ambaye Ni Haki inayotaka usitishe Mateso Kwa Mbowe na umeikataa!
Kila siku watu wanakufa ! He ndio mshahara wao wa dhambi zao ??!!!Mshahara wa Dhambi ni Mauti.