Rais Samia, bado RC Chalamila na RC Hapi

Ukiona serikali iko bize kufatilia ushabiki wa mitandaoni.... Pole..... wakati huku ndipo kumejaa wezi na wazandiki wenye tamaa ya mafanikio ya haraka

Mitandaoni kumejaa chuki na unafiki,mtu analia umaskini wakati anatumia SM-J8 kucomment mitandaoni.

Umaskini upo mitaani, ukijiona wewe unatumia mitandao ya social media just upo daraja la Kati kimaisha, tuache unafiki kulia lia humu.

Serikali ifatilie manunguniko ya wananchi wa chini ambao hata kumiliki simu ya rununu kwake ni ndoto

Tusiwe washabiki watu kwa kuwanafiki wengine kwa manufaa ya mwengine

Kama mtu katenda kosa Sheria zipo wazi, tafuta ushahidi fungua shauri la kesi mahakamani, katiba na Sheria ipo wazi kwa hilo
 
Tanzania kama huna PHD ya kupika MAJUNGU na FITINA huwezi KUDUMU kazini au kwenye siasa.
 
inabidi sasa nianze kutumia "Iron Dome"
kujikinga na MAJUNGU na FITINA.
 
Salum Ally Hapi kipi kibaya amekifanya ?!!

Comrade ,umeamua kumchafua MTANZANIA mwenzako ?!!!
 
Nyie mpepeeni kama unyoya bibi wa watu ila kwa jpm hata robo yake hana wa kufikia mafanikio yake. Badala ya kumsaidia rais wenu nyie mnampasua, shauri lenu na sie yetu macho
 
Unamtetea sana ila jamaa hana busara ya kiuongozi.
1. Alihamasisha Raia kuchukua hatua mkononi badala ya kutumia vyombo ya usalama. Hku akijitapa kuua kwa bunduki.

2. Alitaka kubomoa hoteli kabla ya kupigwa stop kwa madai imejengwa kwenye source ya maji ilihali mtu alikua na vibali halali.

3. Chalamila anaingilia hadi majukumu ya Afisa Elimu. Kuforce kutimua wanafunzi kwa kosa ambalo walionekana hawana hatia na kuruhusiwa kurejea.

4. Vituko vyake wakati wa uchaguzi vipo wazi kabisa mpaka anatishia kuua watakaopinga matokeo.

5. Ni huyu alipotosha JPM yupo hai na ameongea naye ilihali serikali nzima ilikua kimya maana wanajua JPM haponi. Huoni ni insubordination hiyo?

Yes vinaweza kuwa vituko vya hapa na pale ila sio majungu bali ni vitu vya wazi kabisa alikosea. Hana tofauti na DC wa Iringa ila usiseme eti majungu wkt visa vyake kila mtu anaona.
 
Ukianza kula nyama ya binadamu hutaacha.kila mtendaji ni mbaya na mzuri ni nani.muacheni mama afanye kazi zake msimsemee.kwa Nini mnanlisha maneno?Mama hawezifanya kazi kwa maneno ya humu mtandaoni.
 
Mmeanza ukabila hii dhambi itawamaliza basi na wanyakyusa wote walioko nje ya mbeya nao warudi kwao Mbeya si ndo mnavyotaka.wanyakyusa mmezoea ukabila wakati nyie mmejazana mikoa ya watu na nyie muondolewe mkakae kwenu mwanjelwa na kwa mama john
 
Ukianza kula nyama ya binadamu hutaacha.kila mtendaji ni mbaya na mzuri ni nani.muacheni mama afanye kazi zake msimsemee.kwa Nini mnanlisha maneno?Mama hawezifanya kazi kwa maneno ya humu mtandaoni.
Vipi na wewe ni mfuasi wa Chama cha Magufuli (CCM) , kama alivyopendekeza Chalamila?
 
Salum Ally Hapi kipi kibaya amekifanya ?!!

Comrade ,umeamua kumchafua MTANZANIA mwenzako ?!!!
Aliwatishia maisha wakongwe wa CCM, Kinana , Makamba na akina Nape.
Alitamka atawashughulikia na wanyamaze kumkosoa Magufuli.
Kwani huna ile clip?
 
Msiwe wanafiki.
Wengi wamefungwa na Mwendazake kwa kumkosoa mitandaoni, ati kwa kosa la mtandao.
Nikuulize mnafiki wewe, na Ben Saanane aliyekuwa akimkosoa Magufuli mmemuweka wapi?
 
Huyo alizuiwa tu kukiweka kijiji chote ndani, na alishaanza.

Mmeanza ukabila hii dhambi itawamaliza basi na wanyakyusa wote walioko nje ya mbeya nao warudi kwao Mbeya si ndo mnavyotaka.wanyakyusa mmezoea ukabila wakati nyie mmejazana mikoa ya watu na nyie muondolewe mkakae kwenu mwanjelwa na kwa mama john
Mnakimbilia kwenye ukabila ili tusiwaseme Nani kazungumzia ukabila?
 

Atukatai bajaji tunataka ziwe katika utalatibu
 
Baada ya kusoma comment kadhaa nimegundua wewe ni Chalamila, hutoshi I.dot
 
Chalamila hafai kuwa Kiongozi wa umma kwa sababu hana akili timamu kama umewahi kumsikiliza mara kadhaa.
 
Orodha ni ndefu sana kwa wateule wa jiwe.

Jiwe was a useless person aisee.

Why alikuwa anateua wahuni kuwa viongozi wa wananchi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…