Rais Samia, bado RC Chalamila na RC Hapi

Atukatai bajaji tunataka ziwe katika utalatibu
Kwa hio anaeweka utaratibu wa bajaji ni wamiliki wa daladala? Kama daladala yako hailipi uza, nunua bajaji, sio kuitisha serikali na migomo ya kipumbafu
 
Kwa hio anaeweka utaratibu wa bajaji ni wamiliki wa daladala? Kama daladala yako hailipi uza, nunua bajaji, sio kuitisha serikali na migomo ya kipumbafu
Nyie watu washamba mliotolewa vijini, madaraka mengine mkubali tu yamewashinda.
Mtu wa uwezo wa kufikiri Jiji na usafiri wa Mass Transport ni bajaji, uwezo wake huyo ni wa kijijini.
 
Nyie watu washamba mliotolewa vijini, madaraka mengine mkubali tu yamewashinda.
Mtu wa uwezo wa kufikiri Jiji na usafiri wa Mass Transport ni bajaji, uwezo wake huyo ni wa kijijini.
Kwa hiyo unashauri biashara treni za abiria ikiwa mbaya wagome, mabasi yasibebe abiria ili wao wapate abiria?

Mbeya Barabara yenyewe moja, unataka bajaji zipite wapi?
 
Sasa Chalamila ana tatizo gani? Mbona anachapa kazi Kwa weledi kabisa? Weka hapa tuhuma ulizonazo dhidi ya Chalamila.
Hata mimi nawashangaa ,hebu watueleze Chalamila kawafanya nini?

Rais sio mjinga hawezi kumtoa Chalamila maana hafanyii Kazi majungu ya kijinga
 
Ndio hoja ya kumtoa RC hiyo? Acha ujinga
 
Domonkaya yule. Kwanza aliongea na Magufuli kwa simu, wakati huo Magufuli hajitambui na anakaribia kukata roho.
Hakuna hoja kama hizo ndio hoja zenyewe basi mwambie Rais na PM watoke madarakani maana wote waliongea na Rais

Domo kaya haijazuia maendeleo,tena asimtoe Mbeya walijifanya miaungu watu Sana sasa kawanyoosha
 
Mkuu ni kweli Chalamila haja peleka bajaji Mbeya lkn kilichopo bajaji wanaingilia route za daladala na yeye amesema kama daladala wanaona bajaji zinafaa basi wauze magari wanunue bajaji.
Hakuna mahala ambapo watu wanaishi bila utaratibu kiasi kwamba kila mtu afanye anacho kitaka
 
Achana na wajinga hao,nasema hivi Chalamila haondoki Mbeya na atabakishwa hapo hapo maana huko kuna watu wanajifanya miungu watu na majizi hao ndio kawanyoosha wanapayuka hovyo hapa
 
Chalamila maneno mengi tu Tantalila za kutosha lakini sidhani kama ana shida kihivyo.Sema alikuwa na Imani kubwa na mwenda zake bado anaamini yupo na mwendazake huenda asimheshimu sana Mama hapo labda ndo inaweza ikawa Sababu ya kumpumzisha
Asimheshimu kwa ajili gani? Wewe una hiyo jeuri?
 
Acha porojo wewe tuhuma hapo ni.kwa Hapi ila sio Chalamila
 
Mkuu ukiwa mfupi usiwe na akili fupi.
Hiyo ndo tabiia ya Chalamila, badala ya kutatua tatizo la wananchi ,anatafuta ligi ya maneno.Chalamila hatoshi.
Wewe unatosha sehemu gani? Nyie punda ndio mnaosema mara Rais hatoshi sijui nini ,maneno mengi lakini useless
 
Kuna kale ka mkuu ka wilaya ka Arusha mini na Arumeru
 
Sasa Chalamila ana tatizo gani? Mbona anachapa kazi Kwa weledi kabisa? Weka hapa tuhuma ulizonazo dhidi ya Chalamila.

Huyu ni kiongozi asiyetumia akili na mdhalilishaji wa wakina mama!! Huyu ndiye aliyetaka kuivunja Hotel ya Sugu hapo Mbeya mpaka pale alipopewa amri na boss wake kuwa yangekuwa ni makosa kufanya hivyo!! Asingesimamamishwa na Jiwe alikuwa mbioni kuivunja ile hotel kwa sababu za kisiasa na bila kufuata utaratibu!!
 
Hoja za kitoto,angeahindwa jukumu kuu la kulinda usalama na kusimamia haki na maendeleo sawa lakini hapa unaleta tantalila nyingi baseless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…