jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,839
- 2,963
Kwa kawaida hivi vyeo vya Rc na Dc vilikuwa wanapewa waalimu wakuu waandamizi,wanajeshi waandamizi na waganga administration wakuu waandamizi yaani kwa ujumla walitoka sehemu mbalimbali kwenye nafasi za uongozi ngazi ya kati ,waandamizi wabobezi na ataa bila kupanga ilikuwa umri haupungui 36 na kuendelea ,na mwendazake tuu ndio alileta huu ukiukwaji wote huu tulioshuhudia ,
Hawa vijana wapangiwe kwanza nafasi ndogo ndogo ziwapike kiuongozi kwanza. Muhimu ni kuwaandaa si kukurupuka kuwapa nafasi za juu hivyo. Matokeo yake ndio haya wanakuja na mihemko ya hali ya juu. Wanakuja kwenye viti wakiwa na perceptions tofauti kabisa za wanayotakiwa kufanya. Wanawaza kupambana na CHADEMA na wafuasi wao tu, kwa cost yoyote ile.