Rais Samia, bado RC Chalamila na RC Hapi

Hawa vijana wapangiwe kwanza nafasi ndogo ndogo ziwapike kiuongozi kwanza. Muhimu ni kuwaandaa si kukurupuka kuwapa nafasi za juu hivyo. Matokeo yake ndio haya wanakuja na mihemko ya hali ya juu. Wanakuja kwenye viti wakiwa na perceptions tofauti kabisa za wanayotakiwa kufanya. Wanawaza kupambana na CHADEMA na wafuasi wao tu, kwa cost yoyote ile.
 
Pole
 
Chadema imeshafutika?
 
Kahamishiwa mwanza,wa mbeya. Ni kama kapandishwa cheo hivi. Maana yake hata kenyewe kajiona ni katendaji mara 2 ya pale
 
Haya sasa chuki zako na kuwashwa washwa kwako ,jamaa wamepaa zaidi.Chalamila anakamata mkoa mkubwa zaid,wa mwanza.Mwanza ni jiji kubwa kuliko mbeya.Ina maana ameaminiwa zaid.Hapi anakamata Tabora.Acha chuki .
 
Nimekoma ubishi!
Hongera zake small man!
 
Mbona wewe kama una maadili hujateuliwa?
 
Madudu gani si myalete hapa? RC wa Geita katuhumiwa live bungeni kwa kuiba pesa za mgodi ,huko Mbeya uliwahi sikia lini Chalamila katuhumiwa kwa ubadhirifu? kigezo kikubwa sana cha maadili na uwajibikaji
Leo vipi
 
Haya sasa chuki zako na kuwashwa washwa kwako ,jamaa wamepaa zaidi.Chalamila anakamata mkoa mkubwa zaid,wa mwanza.Mwanza ni jiji kubwa kuliko mbeya.Ina maana ameaminiwa zaid.Hapi anakamata Tabora.Acha chuki .
Kasome comments za wa Mwanza na utapipata tu.Wananchi hawakosei.
Hata hivyo mpe hongera mzee Small .
 
Kweli bado Hapi deni liishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…