Rais Samia, bado RC Chalamila na RC Hapi

Uliona mbali, yanaonekana wazi sasa.
 
Bado Hapi ,
 
Haya sasa chuki zako na kuwashwa washwa kwako ,jamaa wamepaa zaidi.Chalamila anakamata mkoa mkubwa zaid,wa mwanza.Mwanza ni jiji kubwa kuliko mbeya.Ina maana ameaminiwa zaid.Hapi anakamata Tabora.Acha chuki .
Mkuu tulikuambia ukweli, sasa Chalamila ndo anawashwa!
 
Uwezo wao ni Mdogo Sana kuliko madaraka waliyopewa,zaidi walibebwa kwa hisia za atatawala milele
 
Push up man alivitumia kama sehemu ya kuweka vichaa watakaomsaidia kutawala milele kwa kuwashughulikia wapinzani.
Leo wanalipia madhambi yao.
Wakaungane kuanzisha chama cha siasa wakiite magufuli party
 
Push up man alivitumia kama sehemu ya kuweka vichaa watakaomsaidia kutawala milele kwa kuwashughulikia wapinzani.
Leo wanalipia madhambi yao.
Wakaungane kuanzisha chama cha siasa wakiite magufuli party
Chalamila aliwahi kusema , Magufuli aanzishe chama kitakachoitwa Chama Cha Magufuli(CCM)
Wana CCM tulimvutia pumzi!
 
Mkuu la mabango ya matusi ni majungu au?
 
Chalamila chaliiiii
 
Mmh unawasagia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…