masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Uliona mbali, yanaonekana wazi sasa.Hawa vijana wapangiwe kwanza nafasi ndogo ndogo ziwapike kiuongozi kwanza. Muhimu ni kuwaandaa si kukurupuka kuwapa nafasi za juu hivyo. Matokeo yake ndio haya wanakuja na mihemko ya hali ya juu. Wanakuja kwenye viti wakiwa na perceptions tofauti kabisa za wanayotakiwa kufanya. Wanawaza kupambana na CHADEMA na wafuasi wao tu, kwa cost yoyote ile.