The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Hahahaaaaa!! Au ndiyo maana Leo mafuta yamepanda tena?Kuna mahali tumekosea kama taifa!
Ko anamaanisha kipato cha mmarekani na mtanzania ni sawa hivyo sisi tuna unafuu wa maisha kuliko wamarekani. 😎 hii ndo bongo nyoso.Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Na bado mtamkumbuka tu!si alishasema!! Mara kafa kwa kovid Mara kafa kwa maradhi ya moyo!!Kumbe Viongozi wetu wanaangalia Mataifa makubwa alafu wanatupimia uwezo sisi wananchi !!!!!
Kweli mwenye kushiba hamkumbuki mwenye njaa Magufuli lala salama baba. Wewe ulikua Mzalendo wa kweli.
Hapo ndo mnakosea kumleta Magufuli wakati na yeye alikuwa MsaniiKumbe Viongozi wetu wanaangalia Mataifa makubwa alafu wanatupimia uwezo sisi wananchi !!!!!
Kweli mwenye kushiba hamkumbuki mwenye njaa Magufuli lala salama baba. Wewe ulikua Mzalendo wa kweli.
Hajui asemalo. Kila nchi ina gharama zake za maisha. Kima cha chini cha mshahara US ni zaidi ya Tshs 5,000,000 . Kwa tafisili hiyo siyo ajabu chapati kuuza 10,000 huko Marekani kwa sababu gharama za maisha zipo juu na kipato cha ndani kipo juuRais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Anatudharau tuHuyu mama huyu !!!! ??????
Nimeishi UK, kule kila kitu gharama nguo, viatu kodi ya pango n.k. , Ila kipato changu nilichokuwa napata kule kwa wiki kwa kazi hio huku hata kwa mwezi huenda nisingepata..., (yaani hapo naongelea unskilled labor bado sijaongelea professional jobs)
Hivi haya anayasema kama siasa, kukosa uelewa au anatudharau (insulting our intelligence)
Umesema KweliNa Maisha marekani Ni Magumu kuliko Tanzania?[emoji38]
Ha Hahahaaa Tutafika Tukiwa Hoi.Kuna wakati naona aibu hata kumsikiliza huyu mama