Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Hajui asemalo. Kila nchi ina gharama zake za maisha. Kima cha chini cha mshahara US ni zaidi ya Tshs 5,000,000 . Kwa tafisili hiyo siyo ajabu chapati kuuza 10,000 huko Marekani kwa sababu gharama za maisha zipo juu na kipato cha ndani kipo juu
Hilo Mama Halijui

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.

Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.

Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.

Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.

Huyu mama nadhani anahisi kila mtu anatokea Zanzibar kama yeye
 
Diesel prices, litre, 02-May-2022​

Diesel prices, 02-May-2022: The average price of diesel around the world is 1.31 U.S. Dollar per litre. However, there is substantial difference in these prices among countries. As a general rule, richer countries have higher prices while poorer countries and the countries that produce and export oil have significantly lower prices. One notable exception is the U.S. which is an economically advanced country but has low gas prices. The differences in prices across countries are due to the various taxes and subsidies for diesel. All countries have access to the same petroleum prices of international markets but then decide to impose different taxes. As a result, the retail price of diesel is different. Use the drop menu to see the prices in gallons.
 
Ko anamaanisha kipato cha mmarekani na mtanzania ni sawa hivyo sisi tuna unafuu wa maisha kuliko wamarekani. 😎 hii ndo bongo nyoso.
Wastani wa kipato cha Mtanzania mmoja kwa mwezi 500K na litre ya mafuta ni Tzs 3,184 wakati wastani wa kipato cha Mmarekani wa hali ya chini ni 11M kwa mwezi wakati gallon ya mafuta ambayo ni sawa na litre 3.4 ni USD 5.

Sasa hapo nani mwenye nafuu?
 
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.

Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.

Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.

Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.

Ni sawa tu na kusema Shut the F*** up suckers..!
 
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.

Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.

Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.

Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.

Ndugu raisi angeulizwa ni lini mara ya mwisho alijaza gari lake.
 
Wastani wa kipato cha Mtanzania mmoja kwa mwezi 500K na litre ya mafuta ni Tzs 3,184 wakati wastani wa kipato cha Mmarekani wa hali ya chini ni 11M kwa mwezi wakati gallon ya mafuta ambayo ni sawa na litre 3.4 ni USD 5.

Sasa hapo nani mwenye nafuu?
Kwamba wastani wa kipato cha mtanzania kwa mwaka ni Ml.6..!!!
DSM tu jiji tajiri nchi nzima,haifiki mil.5..
 
Back
Top Bottom