SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Kweli hapa tumepigwa! Ndo maana anapenda taarabu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Tz inaagiza mafuta Marekani?Tuwe wapole, hata marekani umeme huwa unakatika!
===
Rais Samia: Hata Washington umeme unakatika ingekuwa Tanzania, Makamba angetukanwa
Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwawww.jamiiforums.com
Rais Samia: Nashangaa Umeme kukatika Marekani!
Rais Samia alipokuwa kwenye ziara yake ya kikazi huko Marekani[ U.S.A.] alipata wasaa wa kuwahutubia waTanzania wanaoishi huko. Alipokuwa anatoa hotuba yake palitokea tukio moja lililomfanya akumbuke nyumbani; ingawa alikuwa ughaibuni nalo lilikuwa pale UMEME ulipokatika wakati akitoa...www.jamiiforums.com
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.

Hapa unamtafuta ubaya Afande Siro!Tukitaka katiba ya kuwajibishana kama Marekani atakubali?
Of course ni magumu ukiacha kwenye upatikanaji wa huduma za afya ila kwenye chakula na malazi tuko vizuri kuliko wao.Na Maisha Marekani Ni Magumu kuliko Tanzania?😆
Uhuru una mipaka, tumia vzr uhuru wako. Jenga hoja utasikizwa.Mtu unamwambia lala chali analala, geuka nyuma anageuka, binua matakalio anabinua😂
Bado average ni zaidi ya 2400 per litres tena Hawa Wana mafuta yao ,je sisi tunaoagiza kila kitu?US wananunua mafuta kwa gallon, inaonekana anachanganya liter na gallon, gallon ina 3.8 liter, kwa sasa average price kwa US ni kama 3$-4$, na bongo liter ni kama 3200, ukipiga hesabu utaona kwa bongo gallon ni zaidi ya dola 5, na kipato cha mtu wa kawaida US ni kikubwa sana kulinganisha na mtu wa kawaida bongo maana wafanyakazi wengi wa chini kwa US wanalipwa dola 20 kwa saa
Huo uchumi unaouzungumzia pia ni ghali kuliko uchumi wa Bongo hiiMtakuwa mnamsingizia Rais hawezi ongea hivyo
Yani alinganishe bei ya Mafuta ya marekani na hapa bila kuoanisha uchumi wa hizi pande mbili?
Siamini. Kama ni kweli ametamka hili basi anapaswa kuwa mama wa nyumbani na si Rais wa nchi
Na hata akiwa mama wa nyumbani lazima awe Single mother.
Duh!Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Mafuta sio ishu ya Muungano.Kuhudumia watu mil.58.5 haiwezi lingana na watu mil.1.5Zanzibar wanafanyeje mbona kikokotoo chao mafuta yapo chini?
Tujifunze kwao basi.
Endeleeni kupigwa na mpigwe zaidiHuyu Rais tulipigwa ndugu zangu