Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026 ambapo amebainisha kuwa mazungumzo yalifanyika yaliyohusisha pia mawaziri na viongozi wengine wa serikali.
Pia alieleza Biashara kati ya nchi hizi mbili imekua kwa kiasi kikubwa, ikifikia Shilingi bilioni 644.4 mwaka uliopita. Kuanzia mwaka 1997 hadi Machi 2026, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesajili miradi 42 kutoka Rwanda yenye thamani ya Dola za Marekani milioni 325.5, iliyotoa ajira kwa Watanzania 2,225.