Kina Lipumba, Mbatia na Mbowe ni wawakilishi pekee wa wananchi? Wasipokuwepo basi wananchi hawajawakilishwa?.Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo.
Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofa...
Anapewa taarifa za uongo sana.Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo.
Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofaut....
Kina Lipumba, Mbatia na Mbowe ni wawakilishi pekee wa wananchi? Wasipokuwepo basi wananchi hawajawakilishwa?.
Uzi huu umekaa kifitina zaidi.
🤣🤣🤣🤣
Naona Dalali kafurahi huyo
Selikali ije na mipango mikakati wa kupunguza matumizi na hivi bunge lilo hewani tuone bajeti hii ni kiasi gani tutasave
Kwani lengo Lao la kukutana hapo ni lipi?Kina Lipumba, Mbatia na Mbowe ni wawakilishi pekee wa wananchi? Wasipokuwepo basi wananchi hawajawakilishwa?.
Uzi huu umekaa kifitina zaidi.
Kwani lengo Lao la kukutana hapo ni lipi?
Kukwama ni mpango wenu nyinyi tangu awali. Na mnadhani mnamkomoa mtu kumbe mnajikomoa wenyewe. CCM kuendelea kuongoza nchi ikiwa chini ya katiba ya sasa kwao ni suala poa tu. Hawapungukiwi na chochote.Bila shaka unajua kuwa Lipumba, Mbowe pia Mbatia nao ni wawakilisha wa wananchi.
Hata hivyo aya ya mwisho uliweza kuisoma ndugu mjumbe...
Mkutano wa haki, amani na maridhiano.Kwani lengo Lao la kukutana hapo ni lipi?
Kukwama ni mpango wenu nyinyi tangu awali. Na mnadhani mnamkomoa mtu kumbe mnajikomoa wenyewe. CCM kuendelea kuongoza nchi ikiwa chini ya katiba ya sasa kwao ni suala poa tu. Hawapungukiwi na chochote.