Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Kulialia mitandaoni bila ya kuchukua hatua hakukusaidii wewe na wenye mawazo kama ya kwako.Siyo kuendelea kuongoza mkuu. Ni kuendelea kutumbua juu ya migongo yetu kwa katiba hii:
View attachment 2177710
Hilo ndilo tunalolikataa hilo tunajua kwenu ni poa.
Kwani unadhani hatulijui hilo ndugu?
Nimeshamjibu tayari. Soma namba 19 utaliona jibu langu.Akikujibu usiache kutuletea mrejesho
Kulialia mitandaoni bila ya kuchukua hatua hakukusaidii wewe na wenye mawazo kama ya kwako.
Wewe pia umekaa kifitna zaidi. Maana ya wananchi wote unaielewa? Zito anawakilisha chama chake. Hivyo huo ni muafaka wa ACT na CCM, ambao hawajawahi kugombana.Kina Lipumba, Mbatia na Mbowe ni wawakilishi pekee wa wananchi? Wasipokuwepo basi wananchi hawajawakilishwa?.
Uzi huu umekaa kifitina zaidi.
Nimeshamjibu tayari. Soma namba 19 utaliona jibu langu.
Ni maoni yako sawa- sasa twambie unataka afute kodi zote ili ufurahi?Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo.
Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti.
View attachment 2177619
Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk.
Mapungufu ya msingi yapo mengi.
Wananchi wana kiu kubwa ya kuona kuna mahusiano mapya nchini, siyo haya ya kinyonyaji.
Aangalie kwenye mkutano wa jana:
View attachment 2177624
Anaonekana Zitto peke yake mwenye tabasamu.
Wako wapi hapo kina Mbatia, Mbowe au Lipumba? Wako wapi wanao wawakilisha?
Bila kuwasikiliza wananchi wote kujua walio wengi wanataka nini, mama atatwanga sana maji kwenye kinu.
Hao buku 7
Kwa hiyo Mbowe, Mbatia na Lipumba ndiyo muhimu kuliko watanzania wote? no... kama wamaamua kususa hakuna haja ya kuwabembeleza. Maisha lazima yaendeleeYawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo.
Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti.
View attachment 2177619
Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk.
Mapungufu ya msingi yapo mengi.
Wananchi wana kiu kubwa ya kuona kuna mahusiano mapya nchini, siyo haya ya kinyonyaji.
Aangalie kwenye mkutano wa jana:
View attachment 2177624
Anaonekana Zitto peke yake mwenye tabasamu.
Wako wapi hapo kina Mbatia, Mbowe au Lipumba? Wako wapi wanao wawakilisha?
Bila kuwasikiliza wananchi wote kujua walio wengi wanataka nini, mama atatwanga sana maji kwenye kinu.
Kwa hiyo Mbowe, Mbatia na Lipumba ndiyo muhimu kuliko watanzania wote? no... kama wamaamua kususa hakuna haja ya kuwabembeleza. Maisha lazima yaendelee
Mtamfanya nini rais wa nchi?. Zaidi ya mikwara ya JF. JPM alitaka kuifungia jamii forum na hakuna hata mmoja aliyeinua mdomo wake kusema lolote.
Mtamfanya nini rais wa nchi?. Zaidi ya mikwara ya JF. JPM alitaka kuifungia jamii forum na hakuna hata mmoja aliyeinua mdomo wake kusema lolote.
Eti anahubiri haki? Muulize nini kimesababisha tuitafute haki? kilichodanya haki ikosekane kimetatuliwa?Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo.
Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti.
View attachment 2177619
Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk.
Mapungufu ya msingi yapo mengi.
Wananchi wana kiu kubwa ya kuona kuna mahusiano mapya nchini, siyo haya ya kinyonyaji.
Aangalie kwenye mkutano wa jana:
View attachment 2177624
Anaonekana Zitto peke yake mwenye tabasamu.
Wako wapi hapo kina Mbatia, Mbowe au Lipumba? Wako wapi wanao wawakilisha?
Bila kuwasikiliza wananchi wote kujua walio wengi wanataka nini, mama atatwanga sana maji kwenye kinu.
Baadae ikawaje endeleeeeaaaa msimuliaji.Mtamfanya nini rais wa nchi?. Zaidi ya mikwara ya JF. JPM alitaka kuifungia jamii forum na hakuna hata mmoja aliyeinua mdomo wake kusema lolote.
Baadae ikawaje endeleeeeaaaa msimuliaji.
Ngoma imegomaChawa wana hasira kali kuona kuwa kimsingi walichotaka kutuaminisha ni mkutano wa haki, amani na maridhiano umebainishwa wazi wazi kuwa ni utapeli kama wa matapeli wengine tu.