EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Na Thadei Ole Mushi.
Bodi ya Mikopo acheni kucheza na watanzania....huyu ni mnufaika wa Bodi ya Mikopo kwenye salary slip ya mnufaika huyu inaonekana mshahara wake baada ya kukatwa 141,000 Balance ya Deni lake lilikuwa 2,727,860. Hivyo kama angelikatwa Mwezi wa Sita Tena 141,000 balance ingebakia 2,586,845 badala yake baada ya kukatwa 141,000 balance yake imebakia 2,727,845.
Tafsiri yake ni kuwa Bodi wanakata 141,000 lakini kiasi kilichopungua kwenye Deni lake mtumishi ni 18,015. Makosa haya hatujui kama ni ya Bodi ya Mikopo au ni ya Hazina.
Serikali huwa inachukiwa Kwa uzembe wa Aina hii. Manispaa ya Morogoro karibia Watumishi wote hili limewatokea. Hata kama tutakuwa na Rais mzuri kiasi Gani kama watendaji huku chini watakuwa wa Aina hii bado Rais atachafuka.
Yaani Mama anapambana Kupandisha Watumishi Mishahara halafu Kuna watu wanaipunguza watakavyo. Yaani kwa kitendo hiki waliopandishwa madaraja wanaona hakuna Ongezeko kwenye Mishahara yao.
Share uwezavyo Kwa lengo la kuirekebisha Bodi ya Mikopo.
Cc: Mh Mohammed Mchengerwa Mbunge Mohamed Mchengerwa .
Ole Mushi
0712702602.
View attachment 1836722View attachment 1836723