Rais Samia, bodi ya mikopo(HESLB) inakuharibia kazi

Rais Samia, bodi ya mikopo(HESLB) inakuharibia kazi

Eti wanaishi "kindezi" kama "pimbi"😆😆😆😆 daah
Mkuu watu wakiamia kukudaka wanakudaka kama bata maana wengi hawatumii VPN wanahisi fake ID itamsaidia bila kusaha alisajili hio ID kwa either email au namba ya simu.
 
Mkuu watu wakiamia kukudaka wanakudaka kama bata maana wengi hawatumii VPN wanahisi fake ID itamsaidia bila kusaha alisajili hio ID kwa either email au namba ya simu.
ni kweli kabisa unachoongea,google haina siri hata kidogo.
 
Jamani wahurumieni hawa vijana, wengi ndo wanakuwa wanaanza kazi mishahara yao bado inakuwa midogo......na nyie mnakamua hapo hapo, hivi nyie ni viongozi kweli? anyway nisiongee sana tuache tu muda utaongea....
 
Back
Top Bottom