Rais Samia, bodi ya mikopo(HESLB) inakuharibia kazi

Rais Samia, bodi ya mikopo(HESLB) inakuharibia kazi

Na Thadei Ole Mushi.

Bodi ya Mikopo acheni kucheza na watanzania....huyu ni mnufaika wa Bodi ya Mikopo kwenye salary slip ya mnufaika huyu inaonekana mshahara wake baada ya kukatwa 141,000 Balance ya Deni lake lilikuwa 2,727,860. Hivyo kama angelikatwa Mwezi wa Sita Tena 141,000 balance ingebakia 2,586,845 badala yake baada ya kukatwa 141,000 balance yake imebakia 2,727,845...
Nikweli jamani hata Mimi nimekuta hivo hivo Jamboambalo sielewi kwa kweli, na sijui hio pesa nyingine imekwenda wapi? Mwezi huu wa 5 na 6
 
Nikweli jamani hata Mimi nimekuta hivo hivo Jamboambalo sielewi kwa kweli, na sijui hio pesa nyingine imekwenda wapi? Mwezi huu wa 5 na 6
Fuatilia kama deni halipungui maana yake utaendea kukatwa hadi uchakae nenda na hizo salary slips HESLB ukalalamike
 
Alafu mbona kama wala hawajali...yani hata kujibu dukuduku hilo hawana habari..

Why!??
 
Maofisini kuna watu wanafanya kazi kwa kuripua tu.
Nadhani hii dhana ya 50/50 itatupeleka pabaya.
 
Umefuta jina halafu cheki namba umeiacha,unajianika kitoto
Umeona MWANDISHI NI NANI???? NA NAMBA ZA SIMU AMEWEKA

KWANI HAPO KUNA SHIDA GANI MBONA WANAISHI KINDEZI KAMA PIMBI??

Hivi unahisi wakitaka kukuchukua wanashindwa na simu ya ina IP ADRESS na umeweka "LOCATION ON".

Don't dare think you are invisible
 
Eti wanaishi "kindezi" kama "pimbi"😆😆😆😆 daah
 
Back
Top Bottom