EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #41
Mkuu watu wakiamia kukudaka wanakudaka kama bata maana wengi hawatumii VPN wanahisi fake ID itamsaidia bila kusaha alisajili hio ID kwa either email au namba ya simu.Eti wanaishi "kindezi" kama "pimbi"ππππ daah
ni kweli kabisa unachoongea,google haina siri hata kidogo.Mkuu watu wakiamia kukudaka wanakudaka kama bata maana wengi hawatumii VPN wanahisi fake ID itamsaidia bila kusaha alisajili hio ID kwa either email au namba ya simu.
Kumbe TGTSE anaweza kukopeshwa mpaka milioni ishirini na moja?
Labda maana mi sio.mwalimuKumbe TGTSE anaweza kukopeshwa mpaka milioni ishirini na moja?
Umeelewa kinacholalamikiwa??Wakati mna sign Boom mlkua mna kenua tu meno..
Ukuelewa haya wakati unasoma?Umeelewa kinacholalamikiwa??
Hakuna mtu anayelalamika kukatwa, Hoja ni makato yanafanyika kwa miezi miwili bila principal loan kupungua, kwenye slipsUkuelewa haya wakati unasoma?