Rais Samia: Chonde kuna Makada wenzako CCM wanataka kukuharibia nchi mkose wote! Tafakari

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,225
Reaction score
9,830

View: https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX
Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025.

Hali inatisha, inaogopesha na ina hatarisha UTAWALA BORA, AMANI na HAKI ya nchi yetu, DEMOKRASIA na UHURU tulio upata miaka zaidii ya 60 ilopita.
Mwaka huu unaweza kuwa mbaya sana ktk historia ya nchi yetu Tanzania iwapo Rais SSH hatochukua hatua madhubutu, za dhati na za utashi wa kisiasa ili kunusuru Taifa lisiingie kwene umwagazi wa damu usio wa lazima kama ilivotokea Januari, 2001 kule Zanzibar.

Kinachotakiwa sasa bila kuchelewa, ni Rais Samia kuitisha kikao cha dharura kitakacho wakutanisha wafuatao:
1. Viongozi Waandamizi CHADEMA.
2. Viongozi Waandamizi CCM.
3. Viongozi Waandamizi INEC.
4. Viongozi Waandamizi TLS.
5. Viongozi Waandamizi wa DINI mbalimbali.
6. WAZEE WENYE BUSARA: MZEE WARIOBA na MZEE BUTIKU.

Kwa hapa tulipofikia na matukio ya kutisha yanayo endelea kujitokeza na kuhatarisha Haki, Amani, Uhuru na Demokrasia ya nchi yetu ni lazima yashughulikiwe.

Naomba kuwasilisha.
 
Mzee Ruksa alimuonya kuwa adui yako siyo wapinzani bali ni wavaa mashati ya kijani wenzako, yeye akapuuza sasa hivi anawaona Chadema kama nyoka kwamba lazima wapigwe na kuuwawa tu, ila ajue hadi sasa wamemuingiza chaka nene sana.
 
The most dangerous enemies in your life is your close friends, be very careful of whom you choose to be your friend.

Kikulacho ki nguoni mwako!
 
Haya tunayo yaona nafikiri si matakwa ya Mama.
Inaelekea kuna syndicate nzito kumuengua Mama kwa style ambayo haiko wazi.
Kimya cha Mama juu ya yanayotokea kinaongeza ukakasi.
 
akifuata ushauri wako ni-tag
 
Haya tunayo yaona nafikiri si matakwa ya Mama.
Inaelekea kuna syndicate nzito kumuengua Mama kwa style ambayo haiko wazi.
Kimya cha Mama juu ya yanayotokea kinaongeza ukakasi.
Inaonekana kabisa kuna kitu hakiko sawa mahali fulani. Something somewhere must be terribly very wrong. Inawezekana ni ndani ya CCM yenyewe au Serikali yake.

Kuna watu wamepanga maksudi kuvuruga Utawala wa huyu mama kwa vile tu hawataki aendelee mitano mingine. Kwamba yeye Mama, awamu /term yake inaishia hii 2025( The late JPM and Vice Presidency Term of 10 years ends this 2025).
 
Mzee Ruksa alimuonya kuwa adui yako siyo wapinzani bali ni wavaa mashati ya kijani wenzako, yeye akapuuza sasa hivi anawaona Chadema kama nyoka kwamba lazima wapigwe na kuuwawa tu, ila ajue hadi sasa wamemuingiza chaka nene sana.
Adui mwingine hatari sana kwa sasa ni Mzee wa Msoga. Bwana JK( Rtd presidency). Huyu mzee naona kuna kitu alisahau Ikulu anataka kurudi kwa kutumia mlango wa uani.
 
Umejitahidi!
 
Adui mwingine hatari sana kwa sasa ni Mzee wa Msoga. Bwana JK( Rtd presidency). Huyu mzee naona kuna kitu alisahau Ikulu anataka kurudi kwa kutumia mlango wa uani.

Anachofanya yeye ni kutetea na kulinda miradi yake yenye kumpatia maslahi yake binafsi. Kila Mtu abebe msalaba wake! Yeye anabeba wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…