Rais Samia: Chonde kuna Makada wenzako CCM wanataka kukuharibia nchi mkose wote! Tafakari

Anachofanya yeye ni kutetea na kulinda miradi yake yenye kumpatia maslahi yake binafsi. Kila Mtu abebe msalaba wake! Yeye anabeba wake!
Huyu mzee nasikia ana Project 2:
1. Mama Kiwete 4 Presidency 2035
2. Ridiwani Kiwete 4 Presidency 2045
Ndo maana kwa sasa anapambana sana na yuko very close na Mama SSH kuweka maxingira mazuri!
 
Haya tunayo yaona nafikiri si matakwa ya Mama.
Inaelekea kuna syndicate nzito kumuengua Mama kwa style ambayo haiko wazi.
Kimya cha Mama juu ya yanayotokea kinaongeza ukakasi.
Siku ukijua kwanininsamia anawachukia karume na nyerere kuliko jpm utakuwa umemjea samia ni nani
 
Huyu mzee nasikia ana Ptoject 2:
1. Mama Kiwete 4 Presidency 2035
2. Ridiwani Kiwete 4 Presidency 2045
Ndo kwa sasa anapambana sana na yuko na Mama Samia kuweka maxingira mazuri!

Huenda hizo ni Future Projects, lakini Mimi nazungumzia kuhusu Current Existing Projects ambazo tayari zipo kwa Sasa.
 
Sa100 Anapambana na watu wenye mapenzi mema na taifa lao..na wengi ni wale walio nae chamani kwake
 
View: https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX

Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025.

Hali inatisha, inaogopesha na ina hatarisha UTAWALA BORA, AMANI na HAKI ya nchi yetu, DEMOKRASIA na UHURU tulio upata miaka zaidii ya 60 ilopita.
Mwaka huu unaweza kuwa mbaya sana ktk historia ya nchi yetu Tanzania iwapo Rais SSH hatochukua hatua madhubutu, za dhati na za utashi wa kisiasa ili kunusuru Taifa lisiingie kwene umwagazi wa damu usio wa lazima kama ilivotokea Januari, 2001 kule Zanzibar.

Kinachotakiwa sasa bila kuchelewa, ni Rais Samia kuitisha kikao cha dharura kitakacho wakutanisha wafuatao:
1. Viongozi Waandamizi CHADEMA.
2. Viongozi Waandamizi CCM.
3. Viongozi Waandamizi INEC.
4. Viongozi Waandamizi TLS.
5. Viongozi Waandamizi wa DINI mbalimbali.
6. WAZEE WENYE BUSARA: MZEE WARIOBA na MZEE BUTIKU.

Kwa hapa tulipofikia na matukio ya kutisha yanayo endelea kujitokeza na kuhatarisha Haki, Amani, Uhuru na Demokrasia ya nchi yetu ni lazima yashughulikiwe.

Naomba kuwasilisha.

Samia amekosa credibility baada ya kutuletea 4Rs, halafu kutuonesha 4Rs ni maigizo matupu.

Sasa mtu kama huyo kashajionesha mlaghai, unakutana naye ili iweje? Akulaghai tena?
 
Huyu mzee nasikia ana Project 2:
1. Mama Kiwete 4 Presidency 2035
2. Ridiwani Kiwete 4 Presidency 2045
Ndo maana kwa sasa anapambana sana na yuko very close na Mama SSH kuweka maxingira mazuri!
Huyo namba 1 hawezi elimu yake darasa la saba, huoni hata michango yake bungeni kama mtoto wa chekechea.
 
View: https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX

Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025.

Hali inatisha, inaogopesha na ina hatarisha UTAWALA BORA, AMANI na HAKI ya nchi yetu, DEMOKRASIA na UHURU tulio upata miaka zaidii ya 60 ilopita.
Mwaka huu unaweza kuwa mbaya sana ktk historia ya nchi yetu Tanzania iwapo Rais SSH hatochukua hatua madhubutu, za dhati na za utashi wa kisiasa ili kunusuru Taifa lisiingie kwene umwagazi wa damu usio wa lazima kama ilivotokea Januari, 2001 kule Zanzibar.

Kinachotakiwa sasa bila kuchelewa, ni Rais Samia kuitisha kikao cha dharura kitakacho wakutanisha wafuatao:
1. Viongozi Waandamizi CHADEMA.
2. Viongozi Waandamizi CCM.
3. Viongozi Waandamizi INEC.
4. Viongozi Waandamizi TLS.
5. Viongozi Waandamizi wa DINI mbalimbali.
6. WAZEE WENYE BUSARA: MZEE WARIOBA na MZEE BUTIKU.

Kwa hapa tulipofikia na matukio ya kutisha yanayo endelea kujitokeza na kuhatarisha Haki, Amani, Uhuru na Demokrasia ya nchi yetu ni lazima yashughulikiwe.

Naomba kuwasilisha.

ni muhimu sana ndugu mdau,
kua na heshima kidogo na kumpatia rais wa nchi na kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan fursa na nafasi ya kutekeleza majukumu, dhamana na wajibu wa kikatiba kwa waTanzania wote.

Mkuu wa nchi ni kwaajili ya wananchi na waTanzania wote na sio hako kakikundi kadogo ka kwenda kunywa chai ya ikulu.
Nchi yetu ni tulivu, tupo pazuri na uelekeo ni mzuri sana kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria octobar mawaka huu 2025.

so,
ni vizuri kua watulivu na kuacha ubabaifu wakati ndugu rais Dr.Samia Suluu Hassan akiendelea kuinyoosha nchi kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote licha ya uropokaji wa baadhi ya vibaka na matapeli wa kisiasa wanaotamani chai ya ikulu :putinWalk:
 
View: https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX

Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025.

Hali inatisha, inaogopesha na ina hatarisha UTAWALA BORA, AMANI na HAKI ya nchi yetu, DEMOKRASIA na UHURU tulio upata miaka zaidii ya 60 ilopita.
Mwaka huu unaweza kuwa mbaya sana ktk historia ya nchi yetu Tanzania iwapo Rais SSH hatochukua hatua madhubutu, za dhati na za utashi wa kisiasa ili kunusuru Taifa lisiingie kwene umwagazi wa damu usio wa lazima kama ilivotokea Januari, 2001 kule Zanzibar.

Kinachotakiwa sasa bila kuchelewa, ni Rais Samia kuitisha kikao cha dharura kitakacho wakutanisha wafuatao:
1. Viongozi Waandamizi CHADEMA.
2. Viongozi Waandamizi CCM.
3. Viongozi Waandamizi INEC.
4. Viongozi Waandamizi TLS.
5. Viongozi Waandamizi wa DINI mbalimbali.
6. WAZEE WENYE BUSARA: MZEE WARIOBA na MZEE BUTIKU.

Kwa hapa tulipofikia na matukio ya kutisha yanayo endelea kujitokeza na kuhatarisha Haki, Amani, Uhuru na Demokrasia ya nchi yetu ni lazima yashughulikiwe.

Naomba kuwasilisha.

Mnahaha sasa.
No reform no election.
Grave mistake mliyofanya ni kutosaini kanuni, Bora mgalisaini na huku mkiendelea ku pressurize kwa kuwatumia hao vibaraka wenu mnaowaita watu wa busara.
Makosa kama haya mlifanya kwenye mchakato wa KATIBA MPYA chini ya UKAWA. Vingi
vinavyolalamikiwa vilikua vimeshakuwa addressed kwenye KATIBA pendekezwa mkasababisha isipigiwe kura kisa ugomvi wa Serikali 2 au 3.
Na Kikwete alikutahadharisheni kua mkiikataa hii inayopendekwezwa tutabakinayo hii hii iliyopo sasa.
Akili ni nywele.
Hivi mtu unamdai shilingi milioni mia anakuambia chukua hizi milioni 95, wewe unazikataa unasema huzitaki mpaka ulipwe zote, hii sasa akili au matope?
 
Matukio ya kutisha yanafikia ya mtangulizi wake awamu iliyopita? naona Joseph alikua kimya sana mpaka Kuna kipindi nilidhani huyu mtu hatupo nae tena duniani.
 
Mnahaha sasa.
No reform no election.
Grave mistake mliyofanya ni kutosaini kanuni, Bora mgalisaini na huku mkiendelea ku pressurize kwa kuwatumia hao vibaraka wenu mnaowaita watu wa busara.
Makosa kama haya mlifanya kwenye mchakato wa KATIBA MPYA chini ya UKAWA. Vingi
vinavyolalamikiwa vilikua vimeshakuwa addressed kwenye KATIBA pendekezwa mkasababisha isipigiwe kura kisa ugomvi wa Serikali 2 au 3.
Na Kikwete alikutahadharisheni kua mkiikataa hii inayopendekwezwa tutabakinayo hii hii iliyopo sasa.
Akili ni nywele.
Hivi mtu unamdai shilingi milioni mia anakuambia chukua hizi milioni 95, wewe unazikataa unasema huzitaki mpaka ulipwe zote, hii sasa akili au matope?
Unajidanganya lofa
 
Mkuu usitake kutuletea utopolo wako na akili za kichawachawa hapa.

Sheria zinasema HUWEZI KUTUNGA KANUNI AU SHERIA NDOGO ZINAZO KINZANA NA SHERIA MAMA AMBAYO NI KATIBA. Msikilize Mzee Warioba ambaye amewahi kuwa WAZIRI MKUU wa TANZANIA na MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI enzi za Baba wa Taifa.
 
Unajidanganya lofa
Kwa kweli maficcm wa Lumumba wanasikitisha sana. Naona kumejaa vichaa, wehu na majitu ambayo yako huko kama kichaka cha kupiga deal na kuganga njaa. Pambaf kabixa!
 
View: https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX

Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025.

Hali inatisha, inaogopesha na ina hatarisha UTAWALA BORA, AMANI na HAKI ya nchi yetu, DEMOKRASIA na UHURU tulio upata miaka zaidii ya 60 ilopita.
Mwaka huu unaweza kuwa mbaya sana ktk historia ya nchi yetu Tanzania iwapo Rais SSH hatochukua hatua madhubutu, za dhati na za utashi wa kisiasa ili kunusuru Taifa lisiingie kwene umwagazi wa damu usio wa lazima kama ilivotokea Januari, 2001 kule Zanzibar.

Kinachotakiwa sasa bila kuchelewa, ni Rais Samia kuitisha kikao cha dharura kitakacho wakutanisha wafuatao:
1. Viongozi Waandamizi CHADEMA.
2. Viongozi Waandamizi CCM.
3. Viongozi Waandamizi INEC.
4. Viongozi Waandamizi TLS.
5. Viongozi Waandamizi wa DINI mbalimbali.
6. WAZEE WENYE BUSARA: MZEE WARIOBA na MZEE BUTIKU.

Kwa hapa tulipofikia na matukio ya kutisha yanayo endelea kujitokeza na kuhatarisha Haki, Amani, Uhuru na Demokrasia ya nchi yetu ni lazima yashughulikiwe.

Naomba kuwasilisha.

Sikiliza hapa, unaijue v8 ww
 
Attachments

  • afa324ad11e13100ecbde650d0c342b2_1743188102623.mp4
    5.9 MB
Back
Top Bottom