Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
- Thread starter
-
- #21
Huyu mzee nasikia ana Project 2:Anachofanya yeye ni kutetea na kulinda miradi yake yenye kumpatia maslahi yake binafsi. Kila Mtu abebe msalaba wake! Yeye anabeba wake!
Siku ukijua kwanininsamia anawachukia karume na nyerere kuliko jpm utakuwa umemjea samia ni naniHaya tunayo yaona nafikiri si matakwa ya Mama.
Inaelekea kuna syndicate nzito kumuengua Mama kwa style ambayo haiko wazi.
Kimya cha Mama juu ya yanayotokea kinaongeza ukakasi.
Huyu mzee nasikia ana Ptoject 2:
1. Mama Kiwete 4 Presidency 2035
2. Ridiwani Kiwete 4 Presidency 2045
Ndo kwa sasa anapambana sana na yuko na Mama Samia kuweka maxingira mazuri!
No stone shall be left unturned. You know what? When the darkness gets very dense, the bright morning is ready to shine!!Kwa yanayoendelea, kila jiwe ligeuzwe.
Au anataka kumu impose Rizwan kumrithi mzenji.Adui mwingine hatari sana kwa sasa ni Mzee wa Msoga. Bwana JK( Rtd presidency). Huyu mzee naona kuna kitu alisahau Ikulu anataka kurudi kwa kutumia mlango wa uani.
Ile nyara ya Gombe?Mungu amtunze Mzee Warioba!
Yule Mzee mwingine amegoma kuzeeka.
Samia amekosa credibility baada ya kutuletea 4Rs, halafu kutuonesha 4Rs ni maigizo matupu.
View: https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX
Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025.
Hali inatisha, inaogopesha na ina hatarisha UTAWALA BORA, AMANI na HAKI ya nchi yetu, DEMOKRASIA na UHURU tulio upata miaka zaidii ya 60 ilopita.
Mwaka huu unaweza kuwa mbaya sana ktk historia ya nchi yetu Tanzania iwapo Rais SSH hatochukua hatua madhubutu, za dhati na za utashi wa kisiasa ili kunusuru Taifa lisiingie kwene umwagazi wa damu usio wa lazima kama ilivotokea Januari, 2001 kule Zanzibar.
Kinachotakiwa sasa bila kuchelewa, ni Rais Samia kuitisha kikao cha dharura kitakacho wakutanisha wafuatao:
1. Viongozi Waandamizi CHADEMA.
2. Viongozi Waandamizi CCM.
3. Viongozi Waandamizi INEC.
4. Viongozi Waandamizi TLS.
5. Viongozi Waandamizi wa DINI mbalimbali.
6. WAZEE WENYE BUSARA: MZEE WARIOBA na MZEE BUTIKU.
Kwa hapa tulipofikia na matukio ya kutisha yanayo endelea kujitokeza na kuhatarisha Haki, Amani, Uhuru na Demokrasia ya nchi yetu ni lazima yashughulikiwe.
Naomba kuwasilisha.
Huyo namba 1 hawezi elimu yake darasa la saba, huoni hata michango yake bungeni kama mtoto wa chekechea.Huyu mzee nasikia ana Project 2:
1. Mama Kiwete 4 Presidency 2035
2. Ridiwani Kiwete 4 Presidency 2045
Ndo maana kwa sasa anapambana sana na yuko very close na Mama SSH kuweka maxingira mazuri!
SI huyoIle nyara ya Gombe?
ni muhimu sana ndugu mdau,
View: https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX
Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025.
Hali inatisha, inaogopesha na ina hatarisha UTAWALA BORA, AMANI na HAKI ya nchi yetu, DEMOKRASIA na UHURU tulio upata miaka zaidii ya 60 ilopita.
Mwaka huu unaweza kuwa mbaya sana ktk historia ya nchi yetu Tanzania iwapo Rais SSH hatochukua hatua madhubutu, za dhati na za utashi wa kisiasa ili kunusuru Taifa lisiingie kwene umwagazi wa damu usio wa lazima kama ilivotokea Januari, 2001 kule Zanzibar.
Kinachotakiwa sasa bila kuchelewa, ni Rais Samia kuitisha kikao cha dharura kitakacho wakutanisha wafuatao:
1. Viongozi Waandamizi CHADEMA.
2. Viongozi Waandamizi CCM.
3. Viongozi Waandamizi INEC.
4. Viongozi Waandamizi TLS.
5. Viongozi Waandamizi wa DINI mbalimbali.
6. WAZEE WENYE BUSARA: MZEE WARIOBA na MZEE BUTIKU.
Kwa hapa tulipofikia na matukio ya kutisha yanayo endelea kujitokeza na kuhatarisha Haki, Amani, Uhuru na Demokrasia ya nchi yetu ni lazima yashughulikiwe.
Naomba kuwasilisha.
Ni yule wa kukenua kenua?SI huyo
Mnahaha sasa.

Matukio ya kutisha yanafikia ya mtangulizi wake awamu iliyopita? naona Joseph alikua kimya sana mpaka Kuna kipindi nilidhani huyu mtu hatupo nae tena duniani.
View: https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX
Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025.
Hali inatisha, inaogopesha na ina hatarisha UTAWALA BORA, AMANI na HAKI ya nchi yetu, DEMOKRASIA na UHURU tulio upata miaka zaidii ya 60 ilopita.
Mwaka huu unaweza kuwa mbaya sana ktk historia ya nchi yetu Tanzania iwapo Rais SSH hatochukua hatua madhubutu, za dhati na za utashi wa kisiasa ili kunusuru Taifa lisiingie kwene umwagazi wa damu usio wa lazima kama ilivotokea Januari, 2001 kule Zanzibar.
Kinachotakiwa sasa bila kuchelewa, ni Rais Samia kuitisha kikao cha dharura kitakacho wakutanisha wafuatao:
1. Viongozi Waandamizi CHADEMA.
2. Viongozi Waandamizi CCM.
3. Viongozi Waandamizi INEC.
4. Viongozi Waandamizi TLS.
5. Viongozi Waandamizi wa DINI mbalimbali.
6. WAZEE WENYE BUSARA: MZEE WARIOBA na MZEE BUTIKU.
Kwa hapa tulipofikia na matukio ya kutisha yanayo endelea kujitokeza na kuhatarisha Haki, Amani, Uhuru na Demokrasia ya nchi yetu ni lazima yashughulikiwe.
Naomba kuwasilisha.
Unajidanganya lofaMnahaha sasa.
No reform no election.
Grave mistake mliyofanya ni kutosaini kanuni, Bora mgalisaini na huku mkiendelea ku pressurize kwa kuwatumia hao vibaraka wenu mnaowaita watu wa busara.
Makosa kama haya mlifanya kwenye mchakato wa KATIBA MPYA chini ya UKAWA. Vingi
vinavyolalamikiwa vilikua vimeshakuwa addressed kwenye KATIBA pendekezwa mkasababisha isipigiwe kura kisa ugomvi wa Serikali 2 au 3.
Na Kikwete alikutahadharisheni kua mkiikataa hii inayopendekwezwa tutabakinayo hii hii iliyopo sasa.
Akili ni nywele.
Hivi mtu unamdai shilingi milioni mia anakuambia chukua hizi milioni 95, wewe unazikataa unasema huzitaki mpaka ulipwe zote, hii sasa akili au matope?
Mkuu usitake kutuletea utopolo wako na akili za kichawachawa hapa.Mnahaha sasa.
No reform no election.
Grave mistake mliyofanya ni kutosaini kanuni, Bora mgalisaini na huku mkiendelea ku pressurize kwa kuwatumia hao vibaraka wenu mnaowaita watu wa busara.
Makosa kama haya mlifanya kwenye mchakato wa KATIBA MPYA chini ya UKAWA. Vingi
vinavyolalamikiwa vilikua vimeshakuwa addressed kwenye KATIBA pendekezwa mkasababisha isipigiwe kura kisa ugomvi wa Serikali 2 au 3.
Na Kikwete alikutahadharisheni kua mkiikataa hii inayopendekwezwa tutabakinayo hii hii iliyopo sasa.
Akili ni nywele.
Hivi mtu unamdai shilingi milioni mia anakuambia chukua hizi milioni 95, wewe unazikataa unasema huzitaki mpaka ulipwe zote, hii sasa akili au matope?
Kwa kweli maficcm wa Lumumba wanasikitisha sana. Naona kumejaa vichaa, wehu na majitu ambayo yako huko kama kichaka cha kupiga deal na kuganga njaa. Pambaf kabixa!Unajidanganya lofa
Sikiliza hapa, unaijue v8 ww
View: https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX
Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025.
Hali inatisha, inaogopesha na ina hatarisha UTAWALA BORA, AMANI na HAKI ya nchi yetu, DEMOKRASIA na UHURU tulio upata miaka zaidii ya 60 ilopita.
Mwaka huu unaweza kuwa mbaya sana ktk historia ya nchi yetu Tanzania iwapo Rais SSH hatochukua hatua madhubutu, za dhati na za utashi wa kisiasa ili kunusuru Taifa lisiingie kwene umwagazi wa damu usio wa lazima kama ilivotokea Januari, 2001 kule Zanzibar.
Kinachotakiwa sasa bila kuchelewa, ni Rais Samia kuitisha kikao cha dharura kitakacho wakutanisha wafuatao:
1. Viongozi Waandamizi CHADEMA.
2. Viongozi Waandamizi CCM.
3. Viongozi Waandamizi INEC.
4. Viongozi Waandamizi TLS.
5. Viongozi Waandamizi wa DINI mbalimbali.
6. WAZEE WENYE BUSARA: MZEE WARIOBA na MZEE BUTIKU.
Kwa hapa tulipofikia na matukio ya kutisha yanayo endelea kujitokeza na kuhatarisha Haki, Amani, Uhuru na Demokrasia ya nchi yetu ni lazima yashughulikiwe.
Naomba kuwasilisha.
Huyo namba 1 hawezi elimu yake darasa la saba, huoni hata michango yake bungeni kama mtoto wa chekechea.