Rais Samia chukua hatua kali zaidi, ulikuwepo Awamu ya Tano na sasa upo Awamu ya Sita, unaijua serikali barabara!

Usiseme analialia ila ni kweli achukue hatua kali ,hii nchi ya wajinga bila ubabe haiendi hadi hapo ustaarabu utakapatikana.
 
Alifikiri urais ni sawa na umakamu ,ngoja asikilizie ulezi wa taifa ulivyo mgumu na kuna hatari ya wanawake ku prove failure kwa nafasi za juu kimamlaka
 
Rudisheni Kwanza matrillion mliyokwapua hazina bila huruma. Ni tone tu baharini la trillion 1.5 liliwekwa hadharani na mzalendo Assad na zingine zikiwekwa hadharani watanzania watapatwa na cardiac arrest.
Tumia kichwa kufikiri ,acha kutumia makalio ,utafeli sana
 
Kwanza kabisa, kwa sasa amfute kazi mkurugenzi wa "taasisi" (UWT)
Mama asipokuwa makini nae, sio kumwangushia yeye tu jumba bovu...hata nchi anaipeleka pabaya sana!
 
CCM ni ile ile ukoo wa panya wote wapigaji tu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Another idiot again
It's not fair to call me an idiot. Those who have stollen trillions you call them patriots. What kind of human beings are you? Do you really have blood running on your fakin'veins? Me I haven't cause any loss to the country but some one who's an expert in misusing and stealing public funds and money unashamedly since 1995 you calling him a patriot. What kind of creatures are you???😡😡🤬🤬🤬
 
Trillion 9.8? Au unaandika tu mkuu?
 
He must be extradited from hell to come face all atrocities he committed to Tanzanias, stand for trial and forced to return beck our trillions.
Kiingereza hakikupendi mkuu.
 
Huna akili.

Unaweza ukaiba trilioni 1.5 alafu bado ukajenga flyover, ndege ,meli , bandari ,kuhamia dodoma?
Kama unevunja rekodi ya marais wote Tanzania kwa kukopa, tena ndani ya miaka 5, hakika unaweza.!
 
Kwa kilugha chetu cha bondeni jina lako limamaanisha "mchawi" na adhabu yake siku ya mwisho kwa mujibu wa maandiko matakatifu unaijua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…